Uwanja wa ndege Chato: Rais Magufuli anamuiga Mobutu aliyejenga uwanja wa Concorde kijijini kwake?

SERIKALI ya awamu ya tano imeonyesha dhamira ya dhati ya kuleta mabadiliko, na safari hii imeamua kuubadili mji wa Chato, nyumbani kwa Rais John Magufuli, kuwa ‘mji wa mfano’ kwa…

Daniel Mbega

JamiiForums and Corporate Corruption on Trial

The future of Jamii Forums (JF) is at stake. So is the fight against grand corruption. Like conjoined twins, the two are intertwined. A study that was "prepared with support from the…

Jamii Africa

Agenda ya wazee Tanzania imetupwa kapuni, afya zao hatarini

  SERA ya Taifa ya Wazee Tanzania (2003), inaeleza kwamba ‘mzee’ ni mtu mwenye umri wa miaka 60 na zaidi. Zaidi ya hapo, Sensa ya Taifa ya mwaka 2012 inaonyesha…

Jacob Mulikuza

Mkurugenzi wa Jamii Media, Maxence Melo akamatwa na Polisi

MKURUGENZI Mtendaji wa Jamii Media na mwanzilishi wa mtandao maarufu wa JamiiForums, anashikiliwa na Jeshi la Polisi katika kituo kuu cha polisi, Dar es Salaam, kwa madai ya kugomea agizo…

Jamii Africa

Magonjwa yanayosababisha kutoa usaha, kuumwa na kuwashwa sehemu za siri!

KUNA magonjwa mengi yanayosababisha mtu kukojoa udenda (usaha), uume kuuma au kuwasha wakati wa kukojoa. Magonjwa yanayosababisha hali hiyo kwa sana ni pamoja na klamidia (chlamydia), kisonono (gonorrhea), trichomoniasis na…

Jamii Africa

‪Dangote to Magufuli: We are committed to invest in Tanzania…‬

Africa's richest man, Aliko Dangote has assured Tanzania President John Magufuli further investment commitment in the country on top of his USD 600m cement plant based in the southern tip…

Jamii Africa

Viongozi kupishana kauli kunatesa machinga Tanzania

WAFANYABIASHARA wadogowadogo, maarufu kwa jina la ‘machinga’ wanaendelea kuumizwa na utofauti wa kauli na maagizo yanayotolewa na viongozi wa serikali nchini kuhusu kuondolewa maeneo ya katikati ya miji na kupelekwa pembezoni.…

Jamii Africa

Baada ya Kilio cha Muda mrefu: Kero ya maji Kimara kufikia ukingoni

WAKAZI wa Kimara, Dar es Salaam, hasa eneo la Kitunda, wamekuwa na kilio cha muda mrefu kutokana na kukumbwa na adha ya ukosefu wa maji ya kutosha katika baadhi ya…

Jamii Africa

Maji ya Visima ni kichocheo cha Kipindupindu jijini Dar es Salaam

MOJA ya njia kubwa ambayo inaweza kueneza magonjwa kama kipindupindu ni matumizi ya maji machafu. Maji machafu yanaweza kuwa ya visima, bomba- kama hayawekwi dawa kuua vijidudu na kama hayatachemshwa kabla…

Jamii Africa