Tamaa ya Mali yasababisha watoto wa kike kukosa fursa ya kupata elimu Bahi
WILAYA ya Bahi iliyopo mkoani Dodoma, inakabiliwa na tatizo kubwa la ndoa za utotoni zinazosababisha watoto wa kike kukatishwa masomo yao. Uchunguzi wa JamboTanzania umebaini kwamba hali hiyo inatokana na…
Utamaduni wa Kisandawe waviza kiswahili shuleni
Kiswahili ni lugha ya kibantu yenye misamiati mingi ya kiarabu,lugha hii kwa sasa inazungumzwa katika maeneo mengi ya afrika ya mashariki. Historia inaonesha kuwa Kiswahili kilianza kutumika zaidi ya…
Elimu inatakiwa ili kuondoa tatizo la utapiamlo Wilayani Uvinza
TATIZO la utapiamlo wilaya ya Uvinza limekuwa likishika kasi kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za ulaji duni wa chakula unaotokana na kula milo michache na yenye upungufu wa viinilishe. Ili…
Ushirikina unavyopelekea Mauaji ya wanawake Mara
Mauaji ya wanawake mkoani Mara hususani wilayani Butiama hufanywa kwa sababu za kijinga na zisizo na ukweli za haja ya kupata samaki wengi kwa kutumia viungo vya mwanamke ambavyo hudaiwa…
Uhalifu Mara kuondoka kwa maamuzi ya wananchi
Mkoa wa mara ni mkoa ulio katika kanda ya ziwa unaoundwa na wilaya sita ambazo ni Serengeti, Butiama, Rorya, Tarime, Bunda na Musoma mjini. Mkoa huu umebarikiwa kuwa na rasilimali…
Sera zinakwamisha maendeleo ya sekondari za kata!
Afisa Elimu Taaluma, Elisanguo Mshiu anasema kuwa shule za Sekondari za kata ni mkombozi katika kuinua elimu Mkoa wa Mara ingawaje kuna changamoto mbalimbali zinazozikabili shule hizo ikiwa ni pamoja…
Kambi za wavuvi zatibua utulivu kwa wanafunzi
Uvuvi katika Ziwa Victoria, umekuwa ukihusisha kambi nyingi za wavuvi zilizosheheni idadi kubwa ya wavuvi wenye umri mkubwa na mdogo wanaokadiriwa kufikia 182,741 huku kukiwa na vyombo vya uvuvi vinavyokadiriwa…
Mlima tambiko wa Mtiro mwisho wa matatizo
MLIMA Mtiro uliopo kijiji cha Busekela chache kutoka Musoma mjini ni mlima wenye hifadhi ya maajabu ya vyungu.Maajabu haya ni sehemu ya ibada zinazofanywa na watu wa ukoo Ambarwigi. Ibada…
Ukatili kwa watoto unavyosonga Songea
UKATILI kwa watoto ni kitendo ambacho kinachoendelea kupigwa vita wakati wote na dunia. Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizokamia kutokomeza ukatili huo kwa jitihada za wazi na hata zile za…