Hogo la nini?
KWA Wordson Pakyindi (30), mkazi wa Kijiji cha Kyimo wilayani Rungwe, kuvunjika mguu kutokana na ajali ya pikipiki aliyoipata Desemba 17, 2013 kulimaanisha mwanzo mpya wa maisha ya ulemavu. Alitambua…
Mabadiliko ya tabia nchi yatishia kahawa
WAKATI uzalishaji wa zao la kahawa nchini unatarajia kuongezeka hadi kufikia tani 80,000 kwa mwaka ifikapo mwaka 2016 ili kukidhi masoko ya ndani na nje ya nchi, ongezeko hilo huenda…
Neema yapotea, makaa yaleta balaa
WANANCHI wa Kijiji cha Liyombo kata ya Ruanda wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma wameonyesha wasiwasi wao juu ya kudaiwa kutoroshwa kwa makaa ya mawe pamoja na ulipwaji wa fidia watakazo…
Mapenzi ya wengi yachagiza saratani ya shingo ya kizazi
UKIFUATILIA takwimu za wanawake waliokwenda kwa hiari katika hospitali ya mkoa wa Dodoma kujaribu kuona nini kinawasibu katika miili yao, utakubaliana na taarifa kwamba kansa ya shingo ya kizazi inashika…
Josho la Mjerumani laendelea kutumika Mpwapwa. Lilijengwa mwaka 1905
WILAYA ya Mpwapwa ni moja ya Wilaya saba zinazounda mkoa wa Dodoma. Inapakana na Wilaya za Chamwino, Kongwa, Kilolo mkoani Iringa na Kilosa Mkoani Morogoro. Ikiwa na ukubwa wa kilomita…
Udhaifu wa usimamizi waua elimu ya watu wazima
Elimu ya watu wazima ni elimu ambayo hutolewa kwa watu wenye umri mkubwa, lengo la Elimu ya watu wazima ni pamoja ya kujifunza jambo lolote lenye shabaha ya kumwendeleza mwanadamu…
Mwanamke anavyochukuliwa kama mtu wa kuzaa watoto tu!
KILA mtu anasema kwamba ukeketaji ni mbaya na hakuna mtu anayeuliza kiundani kwanini ukeketaji. Makala haya ya SHOMARI BINDA yanatafuta majibu ya kweli kutoka kwa wenyeji wanaofanya tohara hiyo. WANAUME…
Jinsi umaskini unavyowakimbiza watoto majumbani
SHERIA ya Haki za Mtoto ya mwaka 2009, iliyotungwa na Serikali, na hatimaye kupitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni moja ya nyenzo muhimu katika malezi ya…
Kudorora kwa bandari ya Kigoma kumalizwa na reli ya kati
Bandari ya Kigoma, ni moja ya bandari mbili kubwa ambazo zinamilikiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), katika mwambao wa Ziwa Tanganyika. Nyingine ni bandari ya Kasanga pamoja…