Lugha kikwazo cha kufikisha elimu ya uzazi wa mpango Butiama

Muuguzi mkunga wa Hospitali ya wilaya ya Butiama Neema Mchuruza,  anasema pamoja na mambo mengine ya mila na desturi zilizopo katika wilaya hiyo, lugha ya Kiswahili  ni tatizo lingine linalokwamisha…

Stella Mwaikusa

One Infant was picked by a good Samaritan in Musoma Urban

AN infant of two months was picked by a good Samaritan in a bush near Mshimakamano Primary School area at around 7.00 pm in Musoma Urban district, Mara Region.

Swaum Mustapher

Uhaba wa dawa sababu ya kusingizia ugonjwa Rorya

Katika hali isiyo ya kawaida baadhi ya wakazi wa vijiji vinavyohudumiwa na kituo  cha afya cha Kinesi kilichopo kata ya Nyamunga wilaya ya Rorya wanasingizia ugonjwa ili kupata dawa za…

Stella Mwaikusa

In Mvomero District, No photocopy of Clinic Cards no records!

SHORTAGE of clinic cards in Mvomero district, Morogoro has forced pregnant women to make a copy and buying an exercise book for their clinical records.

Swaum Mustapher

CHADEMA wamlipua Mwakyembe kwa ufisadi kama wa EPA

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeibua tuhuma nzito za ufisadi wa mabilioni ya fedha, kikidai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), hasa kupitia makundi ya wasaka urais, kimeanza kutumia mbinu…

Jamii Africa

Tanzania: Ministry of Minerals permits land grabbing!

About 100,000 people in the four villages of Maganzo, Ikonongo, Songwa and Masagara cry foul to the Ministry of Energy and Minerals, Central-West Zone for issuing mining license to El…

Jamii Africa

Kadi za wajawazito na watoto ni kama lulu mkoani Mara

Kadi za maendeleo ya wajawazito na watoto zimekuwa kama kama lulu katika mkoa wa Mara na kusababisha malalamiko kwa akinamama wa mkoa huo.

Stella Mwaikusa

Mlima wa hifadhi wauzwa bila ridhaa ya wananchi!

MLIMA ambao umetengwa kwa ajili ya hifadhi ya msitu katika kijiji cha Nkali kata ya Liuli wilayani Nyasa mkoani Ruvuma umeuzwa na baadhi ya viongozi wa Halmashauri ya kijiji hicho…

Albano Midelo

How dependency syndrome on donor funds deprives expectant women of the basic health services

Only fewer women can access maternal health services at one of the major health facilities in Kagera Region owing to cessation of the Maternity Delivery Relief Fund. The fund which…

Joas Kaijage