Picha za basi la Abood lililopata ajali Mafinga

Albano Midelo

Picha hizi zinaonesha baadhi ya abiria wakijitahidi kumtoa dereva wa basi la Abood aliyebanwa miguu katika ajali.

Basi hilo  linasafiri kati ya Dar es salaam na Tunduma Mbeya na lilipata ajali tarehe 3 Oktoba 2011, katika maeneo ya Mafinga mkoani Iringa baada ya kuligonga kwa nyuma basi la kampuni ya Ottawa Express linalofanya safari zake kati ya Dar es salaam na Songea mkoani Ruvuma. Katika ajali hiyo watu kadhaa walijeruhiwa

 

5 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *