Mikakati ya Mkoa wa Ruvuma kuboresha huduma ya maji imejikita zaidi katika Manispaa ya Songea
KWA miaka mingi karibu wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma zimekuwa na…
Ekari 550 zilivyozolewa na mafuriko Mpwapwa. Ni yale yaliyoua watu wanne
JENERALI Kutona (32), mkazi wa Kijiji cha Ilolo wilayani Mpwapwa, analiangalia shamba…
Dodoma: Zahanati hufungwa hadi wiki mbili kila wakati mganga anaposafiri
GRACE Machidya, mkazi wa Kijiji cha Malolo katika Wilaya ya Mpwapwa mkoani…
Mfumo wa China ni sahihi kama Tanzania inataka kupiga hatua ya maendeleo
KWA muda mrefu kumekuwa na malumbano baina ya makundi mbalimbali ndani ya…
Dodoma: Licha ya kuwepo kwa mito, ndoo moja ya maji yauzwa Shs. 700
MANENO Chegula (42) anaonekana akihangaika kukokota baiskeli yake ili kuvuka Mto Sasima,…
Mihadarati: Freeman Mbowe, SimonĀ Sirro kuibua mjadala wa kisheria
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Aikael Mbowe, amegoma…
Mashangingi mawili yakwamisha ununuzi wa vifaa vya maabara ya benki ya vinasaba vya wanyama Mpwapwa
KAMA Serikali ingesitisha kununua ‘mashangingi’ mawili tu kwa mwaka na kuelekeza fedha…
Yabainika: Wasichana wenye umri wa miaka 20 – 25 hushambuliwa zaidi na UKIMWI nchini Tanzania
MAABUKIZI ya Virusi vya Ukimwi yako juu kwa wasichana wenye umri kati…
Miundombinu mibovu ya Elimu mkoani Ruvuma: Nani alaumiwe?
WANAFUNZI kusomea katika madarasa yaliyoezekwa kwa nyasi, huku katika shule nyingine ikiwa…