Sababu 6 zinazothibitisha kwanini kukosolewa ni jambo zuri
Mark Thomas anasema, kukosolewa kunaweza kuwa kitu kizuri bila kujali imetoka kwa mtu wa aina gani au anayefanya kazi gani. Kukubali kukosolewa yaweza kuwa jambo gumu sana. Katika nafasi fulani…