Halmashauri ya Iringa yakosa fedha za UKIMWI; wajawazito na watoto waathirika
IKIWA imebaki takribani miezi minne mwaka wa fedha wa 2012/2013 umalizike, Ofisi…
Wajawazito watembea kilomita 16 kufuata huduma
WAJAWAZITO wa kijiji cha Mgowelo kilichopo kata ya Mahenge wilayani Kilolo mkoani…
862 watoa mimba kwa njia zisizo salama, 16 wapoteza maisha
WANAWAKE 862 walikimbilia katika hospitali ya Mtakatifu Francisco mjini Ifakara, mkoani Morogoro…
Chanjo zasaidia kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano nchini
VIWANGO vya chanjo nchini, vimeendelea kupanda toka asilimia 50 miaka ya sitini…
Waongeza mchango kufanikisha ujenzi wa wodi ya wazazi
WANANCHI 464 wa kijiji cha Ikula, wilayani Kilolo mkoani Iringa wamekubali kuongeza…
Serikali yatakiwa kutimiza wajibu wake wajawazito wapate huduma bure
UONGOZI wa Hospitali Teule ya Ilembula, wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe umeiomba serikali…
Bajaj za Kikwete na changamoto ya Usafiri kwa Wajawazito vijijini
WAKATI wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2010, Rais Jakaya Kikwete aliahidi…
Ni lini wajawazito watapata huduma bure toka kwa mshirika huyu wa serikali?
HAKUNA huduma inayotolewa bure katika hospitali teule ya Mtakatifu Francisco iliyopo mjini…
Wajawazito zaidi ya 200 wapita salama mikononi mwa Nyagawa!
MAIMUNA Nyagawa (59), maarufu kwa jina la Mama Zamda ni Mkunga wa…