Kesi 456 inayowakabili Wakurugenzi wa JamiiForums, mawakili wavutana kuhusu mahakama kupokea kielelezo cha shahidi
Wakili wa upande wa utetezi avutana na Wakili wa Jamhuri ambayealiiomba mahakama…
Maambukizi ya UKIMWI yanapogeuka janga kwa wakulima Tanzania
Kilimo ni sekta ya uzalishaji ambayo huchangia kukuza pato na kuimarisha uchumi…
CAG mstaafu Utouh: Sheria inaruhusu serikali kutumia fedha ambazo hazijaidhinishwa na bunge
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)aliyestaafu, Ludovick Utouh amesema sheria inaruhusu…
Mbunge Upendo Peneza kutumia vifungu vya katiba kuzuia uchaguzi wa marudio
Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Geita, Upendo Peneza amesema anakusudia kuzuia…
Bajeti yakwamisha malipo ‘baada ya matokeo’ kwa walimu, AZAKI yajitokeza kuwalipa
Utulivu na usikivu wa mwanafunzi akiwa darasani ni hatua muhimu ya kupata…
Serikali inapoteza bilioni 793 za walimu ‘watoro’
Utafiti wa taasisi ya Twaweza unaeleza serikali inapoteza bilioni 793 kila mwaka …
NBS yashauriwa kuondoa utata wa takwimu za uchumi nchini
Wataalamu wa Shirika la Kimataifa la fedha (IMF) wameishauri Ofisi ya Taifa…
Wavamizi watishia kuliangamiza Bonde la Wami Ruvu
Sera ya maji ya mwaka 2002 inabainisha kuwa Matatizo mengine katika kusimamia…
Sera ya Elimu Bure kuzirejesha shule za CCM mikononi mwa serikali
Rais wa Tanzania, John Magufuli ameitaka Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha…