Watetezi uhai wafanya kampeni kupinga muswada Afrika Mashariki
MASHIRIKIA ya kutetea uhai, PROLIFE- Tanzania na Human Life International (HLI) Tanzania,…
Muhogo: Zao linabebeshwa janga la njaa. Linakosa soko licha ya kuwa na utajiri
WATANZANIA wengi wameaminishwa kuwa zao la muhogo ni muhimu sana wakati wa…
Ludewa: Karaha ya kwenda Mchuchuma na utajiri wa makaa ya mawe
MIAKA 21 iliyopita wakati Mbunge wa Ludewa wakati huo, Horace Kolimba, alipokuwa…
Moshi Vijijini: Wananchi wagomea mradi wa maji. Harufu ya ufisadi yanukia
DHANA kwamba Watanzania wengi ni watu wanaoumia “kimoyomoyo” hata kama wanaumizwa, imeanza…
Iringa: Bei hafifu za nyanya zaendelea kuwatia umaskini wakulima
LICHA ya kuwepo kwa viwanda vitatu vya kusindika bidhaa zitokanazo na zao…
Mafia: Minazi hatarini kutoweka, uchumi wa kisiwa kutetereka
TAMBO nyingi zimesikika kuhusu umuhimu wa nazi. Wapo wanaoipa sifa kubwa nazi…
Morogoro: Zahanati yatelekezwa miaka mitatu. Wagonjwa, wajawazito wateseka
MUASISI na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere alitangaza maadui wakubwa wa…
Ruvuma: Sasa hakuna shule yenye mwalimu mmoja wilayani Nyasa
LICHA ya kuwepo kwa uhaba wa walimu nchini Tanzania, lakini kwa sasa…
Ukeketaji unavyoendelea kuwaathiri wanawake Tanzania
* Utafiti unaonyesha kuwa kwa kila wanawake 10 waliopo Tanzania, mmoja amekeketwa…