Asimilia 43 ya watanzania kukimbilia ughaibuni wakipata fursa
Imebainika kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi 6 za Afrika ambazo raia wake wanapenda kuhama na kwenda kuishi nchi zingine hasa Marekani na Ulaya ikiwa watapata fedha na fursa zitakazowawezesha…