Lazima tuwasaidie wazazi wetu

Daniel Mbega

Kuwasaidia wazazi ni kujifunza, hivyo lazima vijana washiriki kikamilifu kazi za nyumbani kwa kuzingatia umri na uwezo wao. Huo ndio msingi mkubwa wa kuweza kujitegemea hapo baadaye.

Picha hizi chini nilizichukua Wilayani Mpwapwa na naamini utakubaliana nami kuwa wazazi wanastahili msaada wetu.

Mtoto huyu akiwa amebeba mdogo wake wakati wazazi wao wakifanya shughuli nyingine.
Tunawasaidia wazazi kukoboa. Vijana hawa wakikoboa mahindi katika kijiji cha Nghambi wilayani Mpwapwa.
Vijana hawa wakikoboa mahindi katika kijiji cha Nghambi wilayani Mpwapwa

 

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *