Wajawazito watembea kilomita 16 kufuata huduma

WAJAWAZITO wa kijiji cha Mgowelo kilichopo kata ya Mahenge wilayani Kilolo mkoani Iringa, wanalazimika kutembea kwa miguu zaidi ya kilomita 16 hadi kijiji cha Mtandika kufuata huduma za matibabu.

Frank Leonard

‘’Hakuna anayejali vifo vya wajawazito na watoto wachanga!’’

HAKUNA anayejali kama mjamzito iwe kijijini au mjini anapotaabika na mimba yake wakati mtoto anayezaliwa ni mali ya taifa. Hakuna mtaalam wa afya anayejali kuona mjamzito anateseka na kushindwa kusukuma…

Gordon Kalulunga

Digiti sawa, zi wapi chaneli tano muhimu?

Wahenga walinena; “Ahadi ni deni”. Katika mchakato wa kuingia kwenye mfumo wa kurusha matangazo kwa njia ya digiti toka mfumo wa analojia, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Wizara ya…

Michael Dalali

Ukame, Ukosefu wa Chakula, vinavyoleta changamoto ya afya kwa waathirika wa UKIMWI huko Mwadui – Lohumbo

Ukame wa muda mrefu uliyoikumba vijiji vya wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga ni mwiba kwa waathirika wa virusi vya UKIMWI.

Belinda Habibu

Utapiamlo wakithiri Wilayani Bunda, Mara

Zaidi ya watoto 294 wapo hatarini kupoteza maisha kwa kuumwa ugonjwa wa utapiamlo katika kata ya Kibara na Kisori kwenye Jimbo la Mwibara wilaya ya Bunda mkoa wa Mara.

Mariam Mkumbaru

Kishapu: Haya ndiyo yanayowapata Wanafunzi na Walimu wa Shule ya Msingi Maghalata

Mto Sanga unaokatisha katika kijiji cha Maghalata kwa karibu km 13, huleta usumbufu kwa wanafunzi wanaotakiwa kuvuka wakapate elimu kwa upande wa pili ambako kuna shule.

Belinda Habibu

Bunda: Sababu zinazowakimbiza wajawazito ‘Leba’ hizi hapa

Sababu kubwa inayopelekea wajawazito kujifungulia kwa mkunga wa jadi pamoja na nyumbani, ni lugha chafu za manesi, ukosefu wa vifaa tiba na madawa muhimu kwa mjamzito baada ya kujifungua.

Mariam Mkumbaru

Wasiwasi wa Maambukizi ya UKIMWI Kata ya Chome – Wilayani Same

“Hakuna sehemu yenye UKIMWI katika dunia hii kama ilivyo hapa Chome.” Ni maneno ya Anna Clement anayeona mienendo ya wakazi wa eneo hili isivyokuwa mizuri, na kwa hali hiyo, maambukizi…

Belinda Habibu

Jinsi Malaria inavyowamaliza watoto Bunda

"Ilikuwa saa tatu asubuhi Mwajuma Ramadhani alianza kupata joto kali mwilini, mama yake Mwajuma akaenda duka la dawa kununua panadol akampa panadol joto likapungua baada ya saa moja, mtoto akawa…

Mariam Mkumbaru