Government cheats artisanal miners
As one traverses through the dusty road from Kalalani village bus stop to Kigwasi Juu where the mining activities take place, the mood on the faces of the villagers is…
Bunda: Watoto ‘njiti’ hatarini kupoteza maisha kwa kukosa umeme!
Watoto wanaozaliwa chini ya miezi tisa (Njiti) wapo hatarini kupoteza maisha kwa sababu ya kukosa joto la uhakika katika hospitali teule ya Bunda.
Aina tano (5) za Mazoezi Bora ya kuondoa Kitambi
Watu wengi wanaotaka kupunguza uzito huamini Kalori ndio kila kitu kinachohusika. Unapochoma Kalori zaidi ya unavyokula, unapunguza uzito. Na kama unakula Kalori nyingi kuzidi mwili wako unavyoweza kuchoma na kutumia,…
Inadequate Services Discourage Health Fund Members in Bunda
COMMUNITY Health Fund (CHF) has lost more than 3,700 members due to poor health service delivery in Bunda District, Mara Region, it has been revealed.
862 watoa mimba kwa njia zisizo salama, 16 wapoteza maisha
WANAWAKE 862 walikimbilia katika hospitali ya Mtakatifu Francisco mjini Ifakara, mkoani Morogoro na kufanyiwa tiba za dharula baada ya kutoa mimba kwa njia zisizo salama.
Wanaume watakiwa kwenda kliniki na wake zao
WANAUME nchini wametakiwa kushiriki kwa vitendo na wake au wenza wao katika kukabiliana na hali ya maabukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kwa kupenda kwenda hospitali au vituo vya afya…
Gemstone village on the brink of tears
Kalalani village, a mineral rich area in Korogwe district, Tanga region once bustling with life, has now turned into a ghost village after the collapse of small-scale mining activities.
Butiama: Majengo mabovu ya Zahanati ni hatari katika nyakati za mvua
"Nina miaka 20 sasa nafanyakazi katika mazingira haya, ni magumu sana lakini kwa sababu natoa huduma kwa watanzania wenzangu inabidi niwe mvumilivu,"alisema Veridiana Majura(49) ni muuguzi katika zahanati ya Rwamkoma…
Ruvuma: Wanafunzi zaidi ya 8,000 Kidato cha Nne wapata SIFURI
WANAFUNZI 8365 kati ya 11364 wamefeli mtihani wa Taifa wa kidato cha nne katika mkoa wa Ruvuma kwa kupata alama sifuri. Taarifa ya Afisa Elimu wa mkoa wa Ruvuma Mayassa…