Tanzania: Siku ya Wanawake iwe changamoto kwao kuwania nafasi za Juu 2015!

Nianze kwa kutoa pongezi kwa wanawake wenzangu wote ulimwenguni kwa kuadhimisha hii siku yetu muhimu katika harakati zetu za kujikomboa na mfumo dume. Leo naomba nitumie siku hii kutoa changamoto…

Lara Williams

ElimuTiba: Jinsi ya kujieleza kwa Daktari

Ni ukweli usiopingika kuwa wengi wetu hatujui ni jinsi gani tujieleze kwa daktari ili tuweze kupata tiba sahii na kwa wakati. Pia, kuna wakati tunashangazwa na baadhi ya maswali tunayoulizwa…

Dr. Meningitis

Chanjo zasaidia kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano nchini

VIWANGO vya chanjo nchini, vimeendelea kupanda toka asilimia 50 miaka ya sitini hadi zaidi ya 90 mwaka 2011. Afisa Mafunzo wa Mpango wa Taifa wa Chanjo toka Wizara ya Afya…

Frank Leonard

Wanawake wa Kijiji cha Idukilo – Wilaya ya Kishapu waamua kujikwamua kwa kukopeshana hela

Wanawake wa kikundi cha Tabu na Raha katika kijiji cha Idukilo wanachangishana hela na kukopeshana ili wajikwamue na mahitaji yao ya kila siku.

Belinda Habibu

Hali mbaya hospitali ya Mwalimu Nyerere Butiama

HALI ya hospitali ya Butiama iliyopo wilayani Musoma mkoani Mara, iliyofunguliwa rasmi mwaka 1972 na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ni mbaya.

Gordon Kalulunga

Magonjwa ya zinaa (STI) bado ni tatizo Bunda

Vijiji vinavyozunguka ziwa victoria katika wilaya ya Bunda mkoani Mara, vimeelezwa kuwa  na tatizo kubwa la magonjwa ya zinaa (STI) kutokana na sababu mbalimbali.

Stella Mwaikusa

Mwalimu wa kwanza kuwa na ‘Daraja A’ Tanzania afariki dunia

Mwalimu wa kwanza  Tanzania wa daraja  la  A(Grade A) ambaye pia alikuwa ni padre wa jimbo kuu katoliki la Songea padre John Fratera Gama amefariki dunia baada ya kuugua kwa…

Albano Midelo

Waongeza mchango kufanikisha ujenzi wa wodi ya wazazi

WANANCHI 464 wa kijiji cha Ikula, wilayani Kilolo mkoani Iringa wamekubali kuongeza mchango wa kusaidia ujenzi wa wodi ya wazazi katika zahanati yao, kutoka Sh 5,000 za mwaka jana hadi…

Frank Leonard

KITAMBI: Chanzo chake na jinsi ya kukiondoa

Kitambi (kilibatumbo) ni tumbo kubwa ambalo linachomoza kwa mbele na wakati mwingi kuning'inia isivyo kawaida. Ni ugonjwa kama magonjwa mengineyo na huweza kuwakumba watoto, vijana, watu wazima na hata wazee…

Dr. Joachim Mabula