Mererani yakumbwa na tatizo la ukosefu wa maji!

Mji mdogo wa Mererani unakabiliwa na tatizo la maji safi na salama ya kunywa na wakazi wake hununua ndoo kubwa ya lita ishirini kwa shilingi mia sita na ile ya…

Belinda Habibu

Huduma ya simu bure kwa wahudumu wa afya na madaktari nchini itawafikia walengwa vijijini?

Mawasiliano ya simu ni njia moja wapo ya kupunguza vifo vya wajawazito na watoto chini ya umri wa miaka mitano na wagonjwa wengi, lakini katika zahanati na vituo vya afya…

Mariam Mkumbaru

Bajaj za Kikwete na changamoto ya Usafiri kwa Wajawazito vijijini

WAKATI wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2010, Rais Jakaya Kikwete aliahidi kusambaza pikipiki za matairi matatu (bajaj) zipatazo 400,000 katika hospitali, zahanati na vituo vya afya nchini kwa nia…

Frank Leonard

Kuongezeka kwa Majengo katika Shule ya Msingi Endiamtu na changamoto ya matumizi ya vitabu

Majengo matano yamejengwa kwa wakati mmoja, kwa nguvu za wananchi wakishirikiana na serikali ili kutatua tatizo la upungufu wa vyumba vya madarasa katika shule ya msingi ya Endiamtu iIiyoko Mererani.

Belinda Habibu

Shinyanga: Mgodi wafungwa kwa Uharibifu wa Mazingira

Mkuu wa mkoa wa shinyanga Bwana Ally Rufunga ameufunga mgodi wa dhahabu wa KIMEG CO LTD uliopo katika kijiji cha mwakitolyo wilayani shinyanga kwa uharibifu wa mazingira hali inayodaiwa kuhatarisha…

David Azaria

Songea: Wajawazito walalamikia kutozwa fedha kwenye vituo vya afya

Wakati Sera ya afya na ustawi wa jamii ya mwaka 2007 inasema, kila mjamzito na mtoto wa chini ya umri wa miaka mitano anatakiwa kutibiwa bure katika hospitali, kituo cha…

Mariam Mkumbaru

Vifo vya wajawazito Tanzania sawa na ajali tano za ndege za abiria kila siku

VIFO vya wanawake wajawazito vinavyotokea kwa mwaka nchini, ni sawa na ajali tano za ndege za abiria zinazoweza kutokea kila siku. Hali hiyo imeelezwa na Mkurugenzi mkazi wa mradi wa…

Gordon Kalulunga

Uhaba wa waganga na manesi Nachingwea

"Nimeanza kazi ya kutibia wagonjwa mbalimbali katika zahanati ya Kiegei mwaka 2004, nikiwa peke yangu mpaka mwaka 2012 ndio nimeletewa msaidizi, huku nikiwa nimepanga chumba kimoja ambapo nimekaa kwa miaka…

Mariam Mkumbaru

Kufutwa kwa POAC: Anna Makinda adhibitiwe au tusahau Uwajibikaji nchini

Katika mkutano wa Kumi wa Bunge la Kumi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Spika wa Bunge ndugu Anna Makinda alitangaza mabadiliko kadhaa ya muundo wa Bunge katika Kamati mbalimbali…

Zitto Kabwe