Rungwe wafanikiwa kupunguza vifo vya wajawazito
SERIKALI wilayani Rungwe mkoani Mbeya imesema kuwa imefanikiwa kupunguza vifo vya akina mama wajawazito vitokanavyo na uzazi ambapo kwa kipindi cha mwaka 2005 vifo vilikuwa 214 kati ya vizazi hai…
Dalili 13 za mwanamke mjamzito
TANGU niwe mmoja wa waandishi wa habari 5 waliobahatika kujifunza na kubobea kuandika habari za afya ya uzazi nchini Tanzania tangu mwaka 2012 nimejionea, nimesikia, nimegusa, nimenusa wakati mwingine kuyaishi…
Saa mbili kwenye ‘handaki la utajiri’
MACHIMBO ya Sambaru yapo takriban kilometa 83 kutoka Singida mjini, ambapo kijiji hicho kimepakana na vijiji vya Mang’onyi katika wilaya ya Ikungi na Londoni kilichopo Manyoni. Sambaru yenyewe ipo katika…
Soko la Hisa la Dar: Fursa ya kipekee kwa wajasiriamali wazalendo Tanzania
Soko letu limekuwa likiwanufaisha zaidi wageni na wananchi wa nchi jirani ambao hulitumia kikamilifu kujinufaisha na wazalendo wengi kutoelewa nini kinachoendelea. Kwa wale waliokwisha jitosa, huwezi amaini jinsi wanavonufaika na…
Mkorogo wizara ya Mwakyembe na Mamlaka ya Bandari
UDHAIFU umejitokeza ndani ya Wizara ya Uchukuzi baada ya Waziri wa Wizara hiyo, Dk. Harrison Mwakyembe kuigeuka Mamlaka ya Bandari nchini (TPA), kuhusiana na usimamishwaji wa kivuko cha cha Mv.…
Delivering at the Health Centre is Still a Challenge
Ms Habiba Sitta is a traditional midwife in Buyangu village in Bugarama ward, Kahama district in Shinyanga who doesn’t know how to read and write but have managed to keep…
Wiki sita ndani ya wilaya nne!
WASWAHILI wanayo misemo mingi inayotawala maongezi kuhusu safari. Wapo wanaosema ‘msafiri kafiri’ wakimaanisha ni kawaida kwa mtu anayesafiri kukutana na madhila awapo safarini. Wengine husema ‘safiri uone’ wakimaanisha unaposafiri, yapo…
How Vumilia Shaban masters her business in embroidery
When a woman is empowered she manages her environment and develops the society around her, this saying has proved true to the life of MrsVumilia Shaban (47) alias Mama who…
Nachingwea: Ardhi yatumika kama Ubao wa kufundishia
Ukosefu wa vibao vya kujifundishia inawalazimu wanafunzi wa awali kuandika katika ardhi, kitu ambacho kinachangia ugumu wa mwanafunzi kuelewa kwa haraka na uwezekano wa kupata magonjwa kama mafua na nyungunyungu.