Polisi aliyefyatua bomu lililoua mwandishi akamatwa, kushitakiwa kwa mauaji

POLISI ambaye alifyatua bomu kwa karibu na kusababisha kifo cha Mwandishi wa habari wa Channel Ten, Daudi Mwangosi, anatarajiwa kufikishwa mahakamani wakati wowote, Fikra Pevu limefahamishwa.

Jamii Africa

Mauaji ya Mwandishi Iringa: Waandishi wataka Waziri, IGP wang’oke

WAKATI Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari (UTPC) ikituma ujumbe mzito mkoani Iringa, Chama cha waandishi wa habari mkoani Mbeya, kimetoa tamko rasmi la kumtaka waziri wa mambo ya…

Jamii Africa

Tarime: CHADEMA yavuna zaidi ya wanachama 3,500 wakiwemo viongozi wa CCM

OPARESHENI maalumu ya 'Vua gamba vaa Gwanda' inayoongozwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeitikisa Wilaya ya Tarime mkoani Mara, baada ya zaidi ya wanachama 3,500 wakiwemo viongozi wa…

Jamii Africa

Daladala zagoma Tarime, abiria wakesha stendi

MADEREVA wa magari madogo ya kusafirisha abiria, maalufu kwa jina la 'daladala' Wilayani Tarime mkoani Mara, wamegoma kusafirisha abiria wakishinikisha Mamlaka ya Usafiri wa nchi Kavu na Majini (SUMATRA), iruhusu…

Sitta Tumma

Zitto aibuka sakata la Urais 2015, asema ukweli utaanikwa

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, ameibuka na kuzungumzia sakata la urais mwaka 2015 alilohusishwa nalo na wabunge wenzake mjini Kigoma na hatimaye wabunge hao kukanusha baada ya kuibuka…

Jamii Africa

Maiti 11 zaidi za m.v.Skagit zaibuka, SMZ yapiga stop meli ingine

WAKATI maiti nyingine 11 zaidi za ajali ya meli ya m.v.Skagit zikipatikana leo, meli nyingine ya M.v. Kalama yenye uhusiano na meli iliyopata ajali imezuiwa kufanya safari zake na Serikali…

Jamii Africa

Tani 40 za uchafu humwagwa Ziwa Victoria – TCSD

ASASI ya TCSD inayojishughulisha na uangalizi wa miradi inayotekelezwa na LVEMP II, imesema zaidi ya tani 40 za uchafu huwa zinamwagwa kila mwaka katika bonde la Ziwa Victoria, jambo linalohatarisha…

Jamii Africa

CCM Mwanza watafunana, walia na Mwenyekiti wa Misungwi

CHAMA cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mwanza, kimesisitiza kuwa msimamo wake wa kumtaka mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi mkoani hapa, Benald Polcarp kujivua 'gamba' ipo pale pale, na…

Sitta Tumma

Waziri afichua wizi mkubwa TRL, Marine Service

NAIBU Waziri wa Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba (pichani), amefichua madudu mengi yanayofanywa na kampuni ya huduma za Meli (Marine Service), pamoja na Shirika la Reli nchini (TRL), ambapo amesema mashirika…

Jamii Africa