Wanafunzi hawana viatu
MIAKA 50 ya uhuru bado kuna shule ambazo wanafunzi wanasoma bila kuvaa viatu.Hawa ni wanafunzi wa shule ya msingi Liwundi iliyopo wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma. Robo tatu ya wanafunzi…
Mlundikano wa wanafunzi darasani
TATIZO la mlundikano wa wanafunzi darasani hapa nchini imekuwa ni moja ya mambo ambayo yanachangia kushusha kiwango cha elimu,wanafunzi hawa wanasoma katika shule ya msingi Mkili kata ya Ngumbo wilaya…
Loliondo ya ziwa Nyasa
Hapa ni mahali katika kijiji cha Mkili mwambao mwa ziwa Nyasa mkoani Ruvuma ambapo pamepewa jina la Loliondo, sio kwa sababu kuna mganga ambaye anatoa tiba kama ilivyokuwa kwa babu…
Hii ndiyo ofisi ya serikali ya kijiji
Pichani ni afisa mtendaji wa kijiji cha Mkili kilichopo kata ya Liwundi mwambao mwa ziwa Nyasa wilayani Mbinga mkoani Ruvuma.Hii ndiyo ofisi ya serikali ya kijiji ambako shughuli zote za…
Mwalimu na nyumba mbovu
Mazingira ya kufanyia kazi ya walimu walio wengi hasa kwenye maeneo ya vijijini yanakatisha tamaa,wakati wabunge wanadai posho zaidi,hali za walimu zinazidi kutia huruma . John Komba Mmoja wa walimu…
Wanafunzi hawa wanafanyishwa vibarua
Wanafunzi wa shule ya msingi Ndingine mwambao mwa ziwa Nyasa wilayani Mbinga mkoani Ruvuma wakifanyishwa kazi ya kusomba tofali muda wa masomo.
Marejea kumaliza tatizo la mbolea nchini
TATIZO la wakulima kutegemea ruzuku ya mbolea za chumvi chumvi ambazo zinauzwa kwa bei ya juu na kuleta madhara makubwa katika udongo linaweza kumalizika kabisa iwapo serikali itaweka msukumo katika…
Wakili Mwalle akabiliwa na mashtaka mapya!
YULE Wakili maarufu jijini Arusha Mediam Mwalle amefunguliwa kesi nyingine tena akidaiwa kuiba Dola za Marekani Milioni 17, 212,812 sawa na Sh. Bilioni 27.5 mali ya Serikali ya Tanzania. Kwa…
TUCTA: Tutatangaza mgomo nchi nzima kupinga posho za Wabunge
SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), limesema lipo tayari kutangaza mgogoro mkubwa na Serikali, utakaoambatana na migomo nchi nzima, iwapo Rais Jakaya Kikwete ataridhia nyongeza kubwa ya posho za…