Universal Primary Education in Tanzania

Four years to go before the year 2015 but still Tanzanian children are struggling to fully achieve the second United Nations Millennium Development Goal of Universal Primary Education (UPE). This…

Daniel Mbega

Boti za Karume zapotea Ndagoni-Pemba

MSAADA wa aliyekuwa rais wa awamu ya sita wa serikali ya Zanzibar, Abeid Amani Karume, umepotea katika mazingira ya kutatanisha. Msaada huo ni boti mbili za kuvulia samaki zilizokabidhiwa kwa…

Maryam Talib

Miaka 50 ya uhuru: Maji ni changamoto!

Huyu binti Lucy Mkondya (chini) anaishi katika kijiji cha Itaka wilayani Mbozi mkoani Mbeya,hapa ndiyo sehemu ambayo ni tegemeo kwa ajili ya maji ya kunywa kwa wakazi wa kijiji hicho,…

Albano Midelo

Somo la TEHAMA na wanafunzi wa vijijini

WALIMU wanaofundisha katika mazingira magumu wamedai kuwa somo la Teknolojia ya Habari na Mawasiliano TEHAMA linawabagua  wanafunzi wa vijijini. Walimu hao wamedai kuwa licha ya wizara ya Elimu na Mafunzo…

Albano Midelo

Ukubwa wa umri ni ujana wa umahiri

Wazee kama hawa wanapaswa kuenziwa kutokana na busara zao badala ya kuwanyanyasa. Vijana wanatakiwa kujifunza kutoka kwao ili kujenga taifa lenye nidhamu, busara na hekima. Tusiwadharau wala kuwanyanyapaa, kwani kila…

Daniel Mbega

Lazima tuwasaidie wazazi wetu

Kuwasaidia wazazi ni kujifunza, hivyo lazima vijana washiriki kikamilifu kazi za nyumbani kwa kuzingatia umri na uwezo wao. Huo ndio msingi mkubwa wa kuweza kujitegemea hapo baadaye. Picha hizi chini…

Daniel Mbega

Liparamba: Wanyamapori huhamia toka Msumbiji

PORI la wanyamapori la Liparamba lililopo wilayani Mbinga, mkoani Ruvuma sasa lipo kwenye ramani ya Dunia kwakuwa ni ushoroba wa wanyama kutoka Tanzania na  Msumbiji kupitia mto Ruvuma. Pori hilo…

Albano Midelo

Miaka 50 ya Uhuru: Mtanzania bado anaishi hivi!

Jamani eee, Tanzania inasherehekea miaka 50 ya Uhuru (wa Tanganyika) lakini haya ndiyo maisha halisi ya Mtanzania. Wengi wetu tunatokea huko ingawa tukiwa mjini huwa hatupendi kuyazungumzia kama ‘yanatuhusu’ wala…

Daniel Mbega

Ahadi ya serikali Pemba ‘yaota mbawa’

AHADI ya Idara ya Uvuvi ya kuwapatia wavuvi wa Makoongwe, Pemba boti za injini na nyavu za kuvulia bahari kuu, haijatekelezwa kwa miaka mitatu sasa. Idara ya uvuvi ambayo ni…

Maryam Talib