Ukubwa wa umri ni ujana wa umahiri

Daniel Mbega

Wazee kama hawa wanapaswa kuenziwa kutokana na busara zao badala ya kuwanyanyasa. Vijana wanatakiwa kujifunza kutoka kwao ili kujenga taifa lenye nidhamu, busara na hekima. Tusiwadharau wala kuwanyanyapaa, kwani kila umri unapozidi ndivyo busara zinavyoongezeka. Tukumbuke kwamba, hata wao ni ‘Vijana wa zamani’. Mungu awabariki sana.

Mzee Habel Mtembeli (81) wa kijiji cha Ilindi wilayani Bahi, anasema pamoja na kukosa shule enzi zake, lakini kupitia ngumbalo sasa anajua kusoma Biblia vizuri.
Hata uwezo wa kuona haujapungua.
Bado nina nguvu. Mzee Makago Silanga (85) akionyesha kwamba bado ana nguvu.
Makago Silanga (85) mkazi wa kijiji cha Nghambi wilayani Mpwapwa akiota jua.
Asante mjukuu wangu! Mzee Makago akipokea fedha ya kununulia ugoro kutoka kwa mjukuu wake.
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *