NIT yahusishwa kufukuta kwa mgogoro wa vyuo vya ufundi
Na Phinias Bashaya, Bukoba CHUO cha usafirishaji cha taifa(NIT)kinadaiwa kuchangia mgogoro unaofukuta baina ya vyuo vya ufundi mjini Bukoba vinavyowania kuwatoza madereva ada ili vitoe mafunzo ya kubadilisha leseni.
Mwanamke aliyetuzwa na serikali ya Marekani apokewa Jijini Mwanza kwa nderemo
Na Juma Ng’oko, FikraPevu - Mwanza MAMIA ya wakazi wa Jiji la Mwanza pamoja na vitongoji vyake, hasa wanawake wakiwemo askari wa Jeshi la Polisi, jana walifurika kwenye viwanja ya…
Mgogoro wa maji Mto Mang’ola utakuwa wa kudumu – Wananchi
WANANCHI wa Kata ya Mang'ola na Kata ya Baray wamedai kwamba kama Serikali haitaingilia kati mgogoro wa maji yanayotoka kwenye chanzo cha Mto Mang’ola basi vita ya kugombania maji hayo…
TANROADS Kagera yakiri kutolipa fidia kwa wananchi
WAKALA wa barabara mkoani Kagera (TANROADS) imekiri kudaiwa mamilioni ya shilingi na wananchi walioathiriwa na upanuzi wa barabara ya Mutukula Muhutwe uliofanyika zaidi ya miaka kumi na tano iliyopita.
Madiwani: Tunahitaji katiba mpya kuboresha elimu
BAADA ya uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka jana, mabaraza mengi ya madiwani yameibua sura mpya zenye kila dalili ya kiu ya mabadiliko FikraPevu imebaini.
Katibu CCM Kagera ajivua gamba kiaina
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikitamba kujivua gamba kwa kupanga safu mpya ya uongozi, Katibu wa chama hicho mkoa wa Kagera Faustin Kamaleki ametangaza kustaafu nafasi yake mwishoni mwa mwezi…
Taasisi yadaiwa kukalia matokeo ya utafiti wa samaki
TAASISI ya utafiti wa samaki na uvuvi (TAFIRI) inadaiwa kukalia matokeo ya utafiti wa aina mpya ya samaki wanaofaa kupandwa katika ziwa Ikimba lililopo wilaya ya Bukoba mkoani Kagera.
Mwanafunzi atenganishwa kichwa na kunyofolewa viungo
MWANAFUNZI wa darasa la tatu katika shule ya msingi Kabalenzi wilaya ya Bukoba vijijini Twinayesu Emmanuel (8) ameuwawa kwa kutenganishwa kichwa na kiwiliwili,kisha kunyofolewa baadhi ya viungo vyake.
Political Paranoia? Tanzania’s Ruling Party threatens online social media
The following is the statement issued earlier today by JamiiForums - the most prominent Tanzanian online social gathering. The popular political forum played a crucial role in a lead up…