Wakazi Dodoma wajiandaa kisaikolojia ujio wa foleni za magari

Ni dhahiri kuwa mji wa Dodoma unakua kwa kasi kutokana na uamuzi wa serikali kuhamishia shughuli zake wa utawala mjini humo, jambo linalochochea ongezeko la watu  na shughuli za usafiri.…

Jamii Africa

Uhaba wa madaktari, msongamano wa wagonjwa waitesa Zahanati ya Bugarika jijini Mwanza

Imeelezwa watanzania watalazimika kusubiri kwa muda mrefu ili kupata huduma bora za afya kwenye zahanati na vituo vya afya kutokana na uhaba wa madaktari na wahudumu wa afya unaoendelea nchini.…

Jamii Africa

ACFTA: Pambazuko jipya la Afrika ‘ Tuitakayo’

Mnamo tarehe 21 mwezi wa tatu mwaka huu Afrika iliweka historia kwa viongozi wa Afrika kutia sahihi ya kuwa na soko huru la Afrika. Viongozi kutoka nchi 44 na zaidi…

Jamii Africa

Wanafunzi nchini kupimwa TB kabla ya kuanza masomo

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jnsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewaagiza madaktari katika hospitali na vituo vya afya kuwafanyia uchunguzi wa ugonjwa wa kifua kikuu wanafunzi kabla ya…

Jamii Africa

Kuanzishwa soko la pamoja la Afrika kuipaisha au kuididimiza Tanzania?

Jumatano ya Machi 21 mwaka huu katika jiji la Kigali, Rwanda lilifanyika tukio la kihistoria la kufufua ndoto na matumaini ya waasisi wa bara la Afrika yenye lengo la kuzileta…

Jamii Africa

Wananchi vijijini walalamika kucheleweshewa huduma ya umeme.

Upatikanaji wa nishati ni nguzo muhimu kwa maendeleo na kupunguza umasikini katika jamii lakini kwa watanzania wengi bado imekuwa ni ndoto iliyokosa suluhisho la kudumu. Inaelezwa kuwa asilimia 70 ya…

Jamii Africa

SIKU YA MAJI DUNIANI: Tusiruhusu madhila ya maji Cape Town yakaikumba Dar

Mara nyingi mgeni anapoingia mahali, imezoeleka kupokewa kwa shangwe na maneno mazuri ya kumkaribisha, ili ajisikie yuko salama na eneo salama. Maneno yanayosikika kutoka kwa wenyeji ni “karibu, pole kwa safari”…

Jamii Africa

Sakata la Mwenyekiti wa TSNP, Abdul Nondo lachukua sura mpya. Afikishwa Mahakamani Iringa, anyimwa dhamana

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Tanzania (TSNP), Abdul Nondo aliyedaiwa ‘kujiteka’ amefikishwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kujibu mashtaka mawili ya kutoa taarifa…

Jamii Africa

Urasimu ‘Mifuko ya Mawasiliano kwa wote’ wakwamisha miradi ya mawasiliano vijijini

Upatikanaji wa huduma ya intaneti kwa urahisi na kwa wote ni kipaumbele muhimu cha kijamii na kiuchumi kilichowekwa na nchi mbalimbali duniani ili kuhakikisha dunia inaunganishwa kwa mawasiliano ya uhakika…

Jamii Africa