BAJETI KUU 2018/19: Deni la taifa, mapato na mkwamo wa Tanzania ya viwanda

Imeelezwa kuwa hazma ya serikali kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa viwanda inaweza isifanikiwe kutokana na ongezeko la deni la taifa na kutofikiwa kwa malengo ya ukusanyaji wa mapato kutoka vyanzo…

Jamii Africa

Kesi namba 458 inayoikabili JamiiForums yapata Hakimu na Wakili mpya. Kusikilizwa tena Machi 26 mwaka huu

Kesi namba 458 ya mwaka 2016 imehamishiwa kwa Hakimu Huruma Shaidi baada ya Hakimu Victoria Nongwa ambaye alikuwa anasikiliza kesi hiyo kukabidhiwa majukumu mengine katika Idara mpya ya Usimamizi wa…

Jamii Africa

Je, ni wakati sahihi kufuta mitihani ya kitaifa katika shule za msingi?

Serikali imeshauriwa kuupitia upya mfumo wa utoaji mitihani ya kitaifa katika shule za msingi ili kuokoa idadi ya wanafunzi wanaokariri madarasa na kuacha shule. Kulingana na mfumo wa elimu ya…

Jamii Africa

Ongezeko la bidhaa bandia sokoni linavyoathiri afya za wakazi wa mjini

Inaelezwa kuwa watanzania wako hatarini kupata magonjwa mbalimbali ikiwemo kansa kutokana na matumizi ya bidhaa bandia zinazozalishwa kwenye viwanda vya ndani na nje ya nchi. Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI)…

Jamii Africa

Kisukari, matatizo ya uzazi yatajwa kuwamaliza wanawake kwa ugonjwa wa figo

Siku ya Figo Duniani huadhimishwa kila Alhamisi ya pili ya mwezi Machi tangu ilipotambulishwa mwaka 2006. Mwaka huu iliadhimishwa Machi 8 pamoja na Siku ya Wanawake duniani ambapo ilibeba kaulimbiu…

Jamii Africa

Wakazi kata za Kalamba, Haubi watembea kilomita 100 kufuata matibabu Kondoa Mjini

Serikali imetoa milioni 600 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha afya kitakachengwa katika kitongoji cha Itongwi kata ya Kalamba wilayani Kondoa ili kutatua changamoto ya upatikanaji wa huduma za…

Jamii Africa

Sababu 5 za macho kuwa mekundu na tiba yake

Macho ni taa ya mwili ambayo humsaidia mwanadamu kuona vitu na kuhakikisha anakuwa salama wakati wote. Lakini macho kama viungo vingine hupata hitilafu na kushindwa kutimiza wajibu wake kwa ukamilifu.…

Jamii Africa

Tafsiri, utata wa rais Magufuli kuzuia maandamano

Rais John Mgufuli amepiga marufuku maandamano yanayoratibiwa na baadhi ya watu na amewataka wananchi kufanya kazi ili kuiletea nchi maendeleo. Marufuku hiyo inakuja wakati kukiwa na mipango ya kufanyika kwa…

Jamii Africa

Marekani yatishwa na misaada, mikopo ya China inayotolewa Afrika

Katika kile kinachotajwa kuwa ni vita ya kiuchumi, Marekani imekosoa mfumo wa utoaji misaada na mikopo wa China kwa nchi za Afrika ikiwemo Tanzania ikidai kuwa unaongeza utegemezi  na  kudumza…

Jamii Africa