Askofu: Magufuli kamilisha mchakato wa katiba mpya
Serikali imeshauriwa kufufua mchakato wa kupata katiba mpya ili iweze kufanikiwa katika mapambano dhidi ya rushwa na kuboresha maisha ya watanzania. Mchakato wa katiba mpya ulikwama baada ya kufika kwenye…
Tatizo la upofu wa macho linavyoitesa dunia
Daniel Samson Jicho ni kiungo kimojawapo cha mwili kinachomsaidia mwanadamu na pia wanyama kuona vitu mbalimbali vilivyomo dunia. Matatizo ya macho yapo ya aina mbalimbali: Mengine yanasababishwa na nzi, kama…
Vitambulisho vya Taifa kuwanufaisha wananchi wengi
Wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kusajiliwa kwa ajili ya kupewa vitambulisho vya Taifa katika maeneo ambako zoezi hilo linaendelea ili kutoa fursa kwa kila mwananchi mwenye sifa kupata kitambulisho. Usajili…
Wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi: Wahakikishiwe usalama ili wapate elimu bora
Daniel Samson Ulemavu wa ngozi ni hali ambayo huweza kurithishwa toka kizazi kimoja hadi kingine, huweza kupotea na pia hali hiyo yaweza kubaki katika ukoo au familia fulani na kuwa…
Hatua za kufuata ili kujenga uaminifu katika jamii
-Ukikosa uaminifu huwezi kuwa na mahusiano mazuri na watu Je watu wanaokuzunguka wanakuchukuliwa wewe kama mwaminifu na mkweli? Mtazamo wako kwa watu wengine ukoje? Uaminifu ni tabia inayojenga heshima, upendo…
Lini wananchi wa Kinondoni watapata maji safi na salama?
Kinondoni ni wilaya mojawapo iliyopo katikati ya jiji Dar es salaam, ambapo katika fikra za watu waishio pembozoni mwa nchi hudhani kuwa upatikanaji wa huduma za jamii ni bora zaidi…
Wanawake wasioolewa hupata zaidi mimba zisizotarajiwa na huishia kuzitoa
Licha ya jitihada mbalimbali za serikali na wadau wa afya ya mama na mtoto kuhamasisha matumizi ya njia sahihi za uzazi wa mpango, bado idadi ya wanawake wanaotoa mimba ni…
Elimu ya MEMKWA kupunguza idadi ya watoto wasiojua kusoma na kuandika
Elimu ni haki ya msingi kwa kila mtoto, lakini kutokana na changamoto mbalimbali wapo watoto ambao hawakupata fursa ya kupata elimu ya msingi katika umri unaostahili. Kwa kuzingatia kuwa elimu…
Teknolojia mpya kuthibiti wizi wa fedha mtandaoni
Ukuaji wa teknolojia na kuvumbuliwa kwa njia za kisasa katika sekta ya habari na mawasiliano, kumerahisisha upatikanaji wa huduma za fedha kwa njia ya simu ambapo watu hawalazimiki tena kutunza…