Bodaboda zasababisha vifo 6,700, majeruhi 36,700 katika miaka 10
DAUDI Maliyatabu (35) amelala kitandani katika wodi Namba 4 Kibasila katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam huku akiugulia maumivu makali. Hana uwezo wa kujigeuza kwa namna yoyote…
Buriani Shaaban Dede ‘Super Motisha’, utakumbukwa kwa mengi katika muziki wa dansi Tanzania
“NANI kauona mwaka! Nani kauona mwaka! Ni majaliwa yake Mungu eeeh, kuuona mwaka!...” Haya ni mashairi ya wimbo wa ‘Nani Kauona Mwaka’ uliotungwa na Shaaban Dede ‘Kamchape’ na akauimba akiwa…
Rushwa katika michezo, Wallah hakuna atakayepona!
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imeamua kukunjua makucha yake na kuyaelekeza kwenye sekta ya michezo nchini Tanzania ambapo tayari inawashtaki watu watano kwa tuhuma mbalimbali za rushwa,…
Programu ya kukuza ujuzi itaondoa tatizo la ajira kwa vijana Tanzania
HIVI karibuni Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu ilizindua Programu ya Kitaifa ya kukuza ujuzi wa nguvukazi wa stadi za maisha kwa vijana mkoani Iringa ikiwa ni utekelezaji wa Mpango…
Mijadala ya maendeleo ni muhimu katika ukuaji wa taifa letu
“KWA mujibu wa nadharia kuhusu maendeleo, nchi yoyote haiwezi ikaendelea bila ya kuwa na mijadala juu ya mielekeo mbalimbali ya maendeleo. Jukumu mojawapo la wasomi wa kitanzania ni kuchochea na…
Elimu bure imeongeza idadi ya wanafunzi, sasa ni wakati wa kutoa elimu bora
ZAIDI ya wanafunzi milioni tatu wamejiunga na masomo mwaka 2017 ikiwa ni idadi kubwa kulinganisha na miaka iliyopita, hatua ambayo inaelezwa kwamba imechangiwa na mpango wa serikali wa kutoa elimumsingi…
Vitambulisho vitaondoa adha ya matibabu kwa wazee Tanzania
Hivi karibuni, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameagiza Halmashauri zote nchini kuandalia wazee vitambulisho maalum kwa ajili ya kupata huduma za afya mara…
Askofu Gaville: Katiba Mpya itafuta ufisadi na kuinua uchumi Tanzania
ASKOFU Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Iringa, Blaston Gaville, amesema Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itafuta ufisadi na kufufua uchumi.
Serikali yanyoosha makucha kwenye pembejeo, marufuku kuingiza mbolea zisizo na viwango
ZAMA za kuwepo kwa mbolea zisizo na viwango zinaweza kuwa historia ikiwa kanuni za ununuzi wa pamoja wa mbolea zinazoandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) zitatekelezwa.