Mafia: Minazi hatarini kutoweka, uchumi wa kisiwa kutetereka

TAMBO nyingi zimesikika kuhusu umuhimu wa nazi. Wapo wanaoipa sifa kubwa nazi kwa kuwa siyo zao la msimu. Kwamba nazi ni zao linapatikana muda wote na kuwa na matumizi anuai.…

Jamii Africa

Morogoro: Zahanati yatelekezwa miaka mitatu. Wagonjwa, wajawazito wateseka

MUASISI na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere alitangaza maadui wakubwa wa Tanganyika (baadaye Tanzania) kuwa ni ujinga, maradhi na umasikini. Tangu uhuru wa Tanganyika, serikali na wananchi wamekuwa bega…

Jamii Africa

Ruvuma: Sasa hakuna shule yenye mwalimu mmoja wilayani Nyasa

LICHA ya kuwepo kwa uhaba wa walimu nchini Tanzania, lakini kwa sasa hakuna shule yenye mwalimu mmoja katika Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma. FikraPevu imeelezwa kwamba, hali hiyo imefuatia agizo…

Jamii Africa

   Ukeketaji unavyoendelea kuwaathiri wanawake Tanzania

* Utafiti unaonyesha kuwa kwa kila wanawake 10 waliopo Tanzania, mmoja amekeketwa jambo linalotishia afya zao AISI SOBO Dar es Salaam. Wakati ukeketaji ukiendelea kushika kasi katika maeneo mbalimbali ulimwenguni,…

Jamii Africa

Gesi yamfanya aokoe Sh. 1.5 milioni za mkaa kwa mwaka

“KWA mwezi mmoja nilikuwa natumia Sh. 140,000 kwa ajili ya kununulia magunia mawili ya mkaa ambayo yanatosha kwa matumizi ya nyumbani, lakini sasa ninaokoa Sh. 365,000 kwa miezi mitatu, ambayo…

Jamii Africa

Sababu za Mkoa wa Kagera kuongoza kwa malaria nchini

*Kiwango cha malaria kwa watoto wenye miezi sita hadi 59 ni takribani mara tatu ya wastani wa kitaifa Zaujia Swalehe Dar es Salaam. Wengi tunaufahamu mkoa wa Kagera. Mkoa huo,…

Jamii Africa

Tarime: Funza wa mabua atesa wakulima wa mahindi

NJAA sasa inainyemelea Wilaya ya Tarime, Mara kutokana na mdudu mharibifu wa mahindi. Ikiwa mavuno ya mahindi hayatakuwa ya kuridhisha msimu, huu, basi wakazi wa wilaya hiyo, wataathirika kwa kukosa…

Jamii Africa

Are Cancer Rates Soaring in Tanzania?

Journalist Krista Mahr, writing in the British Guardian newspaper recently, reported that cancer rates are on the rise in Tanzania. Mahr wrote, “Tanzania’s only internationally trained medical oncologist, Dr Nestory…

FikraPevu

Utalii wa Fukwe washika kasi Ziwa Nyasa

SERIKALI mkoani Ruvuma kwa kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii, imefanikiwa kuhimiza kasi ya utalii wa fukwe katika Mwambao wa Ziwa Nyasa ambapo tayari watalii wengi wameanza kumiminika. Uchunguzi…

Jamii Africa