Katavi: Vyumba vitano kujengwa, madawati 300 yatengenezwa kuwanusuru wanafunzi 750 wa Shule ya Mkuyuni wanakaa chini

HALMASHAURI ya Kavuu katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi imeanza kuchukua hatua ya kutengeneza madawati 300 na kujenga vyumba vitano vya madarasa katika Shule ya Msingi Mkuyuni, Kata ya Majimoto.…

Jamii Africa

Kisarawe: Mbegu za mihogo zilizokataliwa na wakulima zazua balaa

IDARA ya Kilimo katika Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani imeanza kutafuta ‘mchawi’ mara baada ya FikraPevu kuchapisha habari za wakulima kugoma kuchukua mbegu za muhogo aina ya Kibaha o26/Mkuranga 1.…

Jamii Africa

Dodoma: Asilimia 95 ya wakulima wanatumia mbegu za kienyeji

TISHIO la Watanzania kufungwa jela hadi miaka 12 kwa kuuza mbegu bora zilizotafitiwa huenda lisiwakumbe wakulima wa Mkoa wa Dodoma, kwani asilimia 95 wanatumia mbegu za kienyeji. Uchunguzi wa FikraPevu…

Jamii Africa

Kagera: Wananchi Muleba waukataa mradi wa umwagiliaji uliogharimu Shs. 235 milioni

WANANCHI wa Kijiji cha Kyota, Kata ya Kimwani, Wilaya ya Muleba mkoani Kagera wameukataa mradi wa kilimo cha umwagiliaji wenye thamani ya Shs. 234.7 milioni uliokamilika tangu Juni 2015 baada ya…

Jamii Africa

Kuporomoka kwa elimu Tanzania: Jinsi waandishi wa vitabu wanavyowadumaza wanafunzi kifikra

TANZANIA ina upungufu mkubwa vitabu vya elimu kwa ajili ya kufundishia (kiada) na kujifunzia (ziada) jambo ambalo limechangia ongezeko la waandishi wengi. Kuibuka kwa wimbi la waandishi wengi Watanzania kumefanya…

Jamii Africa

Hali ya uondoaji wa majitaka jijini Dar es Salaam bado kizungumkuti

DAR ES SALAAM ni miongoni mwa majiji makubwa barani Afrika ambayo hayajapangwa. Ama kwa lugha rahisi, ni jiji lililojengwa kiholela. Jiji hilo lenye wakazi takriban milioni tano wanaoishi katika wilaya…

Jamii Africa

Dodoma: Shule haina walimu wa kike kwa zaidi ya miaka 30!

SHULE ya Msingi Malolo yenye wanafunzi 386 (wavulana 189 na wasichana 197) katika Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma haina walimu wa kike kwa zaidi ya miaka 30, hali inayoleta changamoto…

Jamii Africa

Makosa ya Kimtandao: Hukumu ya Kesi ya Kikatiba ya Jamii Media vs Jamhuri yashindwa kusomwa

HUKUMU ya Kesi ya Kikatiba kuhusu Sheria ya Makosa ya Mtandao (Cyber Crimes Law) iliyofunguliwa na kampuni ya Jamii Media dhidi ya Jamhuri imeshindwa kusomwa leo. Kesi hiyo iliyoko Mahakama…

Daniel Mbega

Pembejeo za kilimo sasa kutolewa kwa wenye dhamana, maskini walie tu!

LICHA ya msimu wa masika kwa mwaka huu 2017 kukumbwa na hali ya ukame, lakini upatikanaji wa pembejeo za kilimo umekumbwa na changamoto kubwa inayoashiria uzalishaji duni wa mazao ya…

Jamii Africa