Hatari: Bodaboda zaongeza idadi ya wagonjwa wa kifafa Tanzania
ZAIDI ya Watanzania milioni moja wanaugua ugonjwa wa kifafa (epilepsy), FikraPevu inaripoti. Ukiachilia mbali watoto, lakini watu wanaopata ajali za magari, bodaboda na kadhalika, wako hatarini kuugua ugonjwa wa kifafa…
Makosa ya Kimtandao: Ijue Kesi ya Kikatiba(Namba 9 ya mwaka 2016) ya Jamii Media
Tarehe 4 mwezi wa tatu mwaka 2016 Kampuni ya Jamii Media inayoendesha mtandao maarufu wa JamiiForums Ilifungua Kesi ya Kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania kesi namba 9 ya mwaka…
Maumivu mengine yaja Dar. Mtihani wa Kidato cha Sita kuanza Mei 2
WAKATI maumivu ya Dar es Salaam kupamba orodha ya shule 10 zilizofanya vibaya matokeo ya mitihani wa Kidato cha Nne 2016 bado hayajapoa, kuna uwezekano wa mkoa huo kuongeza maumivu…
Dar es Salaam kushika mkia matokeo kidato cha nne, tathmini inahitajika
MKOA wa Dar es Salaam kuwa na shule 6 kati ya 10 ambazo wanafunzi wake wamefanya vibaya katika mitihani ya kidato cha nne mwaka 2016, ni agenda iliyotawala vyombo vya…
Ahadi ya Waziri Mkuu haijaleta matumaini Katavi, upatikanaji wa dawa bado changamoto kubwa
MATARAJIO ya upataikanaji wa uhakika wa dawa katika Hospitali ya Manispaa Mpanda mkoani Katavi ambayo walikuwa nayo wakazi wa mkoa huo yameendelea kuota mbawa licha ya ahadi iliyotolewa na Waziri Mkuu,…
Mikakati ya Mkoa wa Ruvuma kuboresha huduma ya maji imejikita zaidi katika Manispaa ya Songea
KWA miaka mingi karibu wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma zimekuwa na tatizo kubwa la uhaba wa maji, hasa kipindi cha kiangazi mbali na kuwa mkoa huo umepitiwa na mito…
Ekari 550 zilivyozolewa na mafuriko Mpwapwa. Ni yale yaliyoua watu wanne
JENERALI Kutona (32), mkazi wa Kijiji cha Ilolo wilayani Mpwapwa, analiangalia shamba lake kwa masikitiko baada ya kufunikwa na mchanga ulioletwa na mafuriko makubwa yaliyotokea usiku wa Januari 31, 2017…
Dodoma: Zahanati hufungwa hadi wiki mbili kila wakati mganga anaposafiri
GRACE Machidya, mkazi wa Kijiji cha Malolo katika Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, anahangaika kutafuta usafiri wa bodaboda ili impeleke katika zahanati ya Al Jazeera iliyoko Ruaha Mbuyuni wilayani Kilolo…
Mfumo wa China ni sahihi kama Tanzania inataka kupiga hatua ya maendeleo
KWA muda mrefu kumekuwa na malumbano baina ya makundi mbalimbali ndani ya nchi kuhusu mfumo gani ambao Tanzania inaufuata katika kufikia maendeleo yanayohitajika. Wengi wanajiuliza, je, Tanzania inafuata taratibu na…