Maisha magumu yapunguza kasi kuandikisha darasa la kwanza Dar es Salaam
KILIO cha maisha magumu kinaelezwa kuwa ni sababu kubwa ya kushuka kwa kasi ya kuandikisha wanafunzi wa darasa la kwanza kwa shule za Dar es Salaam. Takwimu zinaonesha kuwa katika…
Watoto 330,000 waongezeka kila mwaka shule za msingi
WAKATI shule tayari zimekwishafunguliwa, inaelezwa kwamba jumla ya madarasa 8,392 yanahitajika kwa mwaka ili kukidhi ongezeko la wanafunzi. Hali hiyo inatokana na kuwepo kwa ongezeko la wastani wa watoto 333,169…
Tatizo la maji kwa Watanzania ni ufinyu wa fikra za watanzania
Moja kati ya vituko vya Tanzania, ni Tanzania hubaki na shida ya maji baada ya shida ya mafuriko. Tanzania ina miji yenye maji mengi kiasi cha kuweza kuua watu kwa…
Kilimo hai cha nyanya(Green House) kinavyokabiliana na ukame
“JAPOKUWA mtaji umekuwa changamoto, lakini nitaendelea na mradi huu wa Green House, maana una manufaa makubwa,” ndivyo anavyoanza kuelezea Dk. Sophia Mlote, mkazi wa Kinyerezi Zimbili jijini Dar es Salaam.…
Kilimo cha Uyoga chaongeza uchumi kwa wanawake Dar
Sophia Chove, Mwenyekiti wa kikundi cha akinamama cha Tunza cha Mtaa wa Kilungule - Bunju, jijini Dar es Salaam, anaonekana akichanganya pumba za mchele, maranda, sukari pamoja na maganda ya…
Unataka kubaki kijana? Fanya ngono
“Ngono ni chemchemi ya ujana”. Anasema hivyo mwanasaikolojia wa Uingereza, ambaye anadai kwamba watu ambao huushughulisha mwili huonekana miaka mitano mpaka saba wadogo kuliko wale ambao hawafanyi hivyo. "Ujumbe wangu…
Vyoo shuleni mpaka harambee?
HAKUNA eneo muhimu katika makazi ya watu au kwenye jumuiko la wananchi, kama choo. Hili ni eneo maalum, lenye kubeba afya ya binadamu katika mazingira bora. Hata hivyo, ni eneo…
Kilimo cha muhogo chawanufaisha akinamama Kisarawe
TAKRIBAN kilometa 35 kutoka Ikulu ya Tanzania jijini Dares Salaam, kusini magharibi, kuna Kijiji cha Kisanga ambacho kipo Kata ya Msimbu. Ni miongoni mwa vijiji vingi vya Wilaya ya Kisarawe…
Ufisadi ujenzi wa bwawa wakwamisha Ekari 400 za kilimo cha Umwagiliaji
JUMLA ya ekari 400 zililengwa kwa kilimo cha umwagiliaji katika Kata ya Magulilwa zimekwama kwa miaka saba sasa kutokana na ufisadi uliofanyika wakati wa ujenzi wa bwawa la maji, Fikra…