Zijue faida 11 za kulala uchi au mtupu nyakati za Usiku

UMEZOEA kulala na nguo nyepesi za kulalia? Au unahisi vizuri zaidi ukilala na nguo nzito laini za kulalia? Watu wengi hujifunika mashuka na wengine hujifunika mablenketi kabisa. Katika makala haya,…

Dr. Joachim Mabula

Mtuhumiwa wa Madawa ya Kulevya apigwa risasi na kufa akijaribu kutoroka Mahakama ya Kisutu

Mtuhumiwa wa Madawa ya kulevya amepigwa risasi na kufa papo hapo kufuatia kutaka kutoroka Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Tukio hili limetokea muda si mrefu. Taarifa zaidi zinafuata……

Jamii Africa

Fahamu juu ya kuchangia damu kwa mama Mjamzito (Maswali na Majibu)

Kupungukiwa damu mwilini ni  ️tatizo la kawaida kwa mama wajawazito kipindi cha ujauzito. Hii hutokana na mwili kuhitaji damu nyingi kwa ajili ya ukuaji wa  ️mtoto na tatizo hili hujitokeza…

Jamii Africa

RASMI: Sitti Mtemvu sasa kuvuliwa taji la Miss Tanzania 2014

WAKATI serikali kupita Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), ikisema itakifuta cheti cha kuzaliwa cha Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu,  taarifa zinasema kwamba hawezi tena kuendelea na taji…

Jamii Africa

Vyeti vya Miss Tanzania vyachunguzwa, ikibidi Polisi kuhusishwa

WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), imeanza uchunguzi wa vyeti vya Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu, baada ya kuibuka utata wa taarifa za kuwapo vyeti viwili vinavyotofautiana maelezo.…

Jamii Africa

Press Freedom: Egypt sentences another Al Jazeera journalist

IN another disturbing move against freedom of speech and independent journalism in Egypt, one of Al Jazeera Arabic’s presenters, Ahmed Mansour, has been sentenced in absentia to 15 years imprisonment…

Jamii Africa

Bilionea wa Lake Oil mbaroni kwa kumtesa mfanyakazi wake

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtia mbaroni mmiliki na Mkurugenzi wa Kampuni ya Lake Oil ya Mikocheni jijini humo, Ally Edha Awadhi, kwa kosa la kumtesa mfanyakazi wake…

Jamii Africa

Sekta ya Uvuvi Kigoma ipo mashakani

Sekta ya Uvuvi ni kati ya sekta muhimu ndogo ya uchumi Tanzania. Sekta inatoa ajira nyingi, kipato, uchumaji riziki, fedha na  mapato ya kigeni kwa nchi.   Tasnia ya uvuvi…

Emmanuel Matinde

Matumizi ya sheria na busara kumaliza mgogoro mgodi wa Rwanda

Utatatuzi wa Mgogoro wa Fidia kati ya wawekezaji na wananchi katika maeneo ya mgodi wa Makaa ya Mawe Rwanda wilayani Mbinga utategemea busara ya Serikali. Hii inatokana na ukweli kuwa…