Hofu ya Usalama kwa wafanyakazi GGM Yatanda

SIKU chache baada ya moto kuzuka ndani ya mgodi wa Geita (GGM) na kuteketeza mali zenye thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni 25,hofu kubwa ya kupoteza maisha imeibuka kwa uongozi…

David Azaria

If we can’t give people’s priorities the attention they deserve, why ask them to prioritize?

In a move intended to empower the citizens and give them mandate to decide on their own development priorities, the government adopted the decentralization policy.

Joas Kaijage

Halmashauri yachunguza ambulance kukodishwa kwa wagonjwa

HALMASHAURI ya Wilaya ya Iringa imeanza uchunguzi unaohusu kituo cha afya cha Idodi,  kukodisha gari lake la kubeba wagonjwa (ambulance) wakiwemo wajawazitro kwa Sh 20,000 hadi Sh 70,000.

Frank Leonard

Tunduru: Mwanafunzi mmoja tu ajiunga na Sekondari!

MWANAFUNZI mmoja tu kati ya wanafunzi wote 17 waliofaulu darasa la saba mwaka 2012 katika shule ya msingi Njenga iliyopo kilometa 80 kutoka mjini Tunduru mkoani  Ruvuma ndiye aliyejiunga na…

Albano Midelo

Mlipuko Arusha: Idadi ya Watuhumiwa yafikia 12

IDADI ya watuhumiwa wa tukio la kulipua kanisa la mtakatifu Joseph Mfanyakazi kwa bomu, Mkoani Arusha, imezidi kuongezeka toka tisa hadi kufikia 12, kati yao majina tisa yametajwa na matatu…

Olympia Martin

POLISI wadaiwa kumuua mfanyabiashara wa Dhahabu,wapora mamilioni ya shilingi

HALMASHAURI ya serikali ya kijiji cha Kanembwa Runzewe wilaya ya Bukombe mkoani Geita,imelituhumu jeshi la polisi wilayani humo kujihusisha na rushwa na ujambazi kutokana na askari wake wa kituo cha…

David Azaria

ZAHANATI YAFUNGWA:Wagonjwa wakosa huduma kwa siku 8

WANANCHI wa kijiji na kata ya Mwadui-Lohumbo wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga, wamekosa huduma ya matibabu kwa siku nane mfululizo katika zahanati ya kijiji hicho baada ya watumishi wa zahanati hiyo…

David Azaria

POLISI wageuka ‘Majambazi’

POLISI wa kituo cha Mavota kilichopo ndani ya eneo la kijiji cha Mavota, wilayani Biharamulo, katika mkoa wa Kagera, wanaolinda Mgodi wa Tulawaka wanakabiliwa na tuhuma nzito.

David Azaria

Serikali yafanikiwa kudhibiti utoroshaji wa Dhahabu

SERIKALI imesema imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kudhibiti utoroshaji wa madini katika migodi mikubwa iliyopo hapa nchini baada ya kuweka mfumo madhubuti wa ukaguzi kwenye migodi hiyo.

David Azaria