Lumuma: Mto unaobeba matumaini ya vijiji saba
UWEPO wa mto Lumuma katika kata hiyo, umesaidia uchumi wa wakazi wa vijiji saba vya wilaya za Kilosa na Mpwapwa wanaoutumia kwa shughuli za kilimo cha umwagiliaji.
Mimba za utotoni Ileje kikwazo cha elimu kwa wasichana
WATOTO wa kike wanazaa watoto. Watoto wanaolewa. Watoto wanaacha masomo. Maambukizi ya virusi vya Ukimwi yanaongezeka huko ni wilayani ileje mkoani Mbeya.
Kishapu: Wanafunzi Magalata huponea njaa shuleni
WANAFUNZI wa shule ya msingi Magalata, wilayani Kishapu, wameendelea kuhudhuria vizuri shuleni tangu utaratibu wa kutoa huduma ya chakula ulipoanza.
Wanaume wengi hawajui matumizi sahihi ya kondomu
WANAUME wengi nchini wakiwemo wasomi hawajui matumizi sahihi ya mipira ya kiume ‘’Kondomu’’. Ikiwa ni kuvaa kabla, wakati wa tendo na kuvua baada ya kujamiiana na wenza wao.
Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA ‘wafunguka’!
Kiongozi wa jopo la wanasheria watano (5) wanaomtetea Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare, Wakili Tundu Lissu, akiwawakilisha wenzake, ameongea na vyombo vya Habari akiwa Makao Makuu…
WAJAWAZITO 303 KATI 100,000 HUPOTEZA MAISHA WILAYANI IRINGA
WASTANI wa wajawazito 303 kati ya 100,000 wamekuwa wakipoteza maisha wakati wakijifungua wilayani Iringa. Vifo hivyo vinaendelea kutokea wakati serikali na washirika wake wakiongeza kasi ya kufikia malengo ya Millenia…
Maisha ya kuokota ‘mawe ya dhahabu’
KUNA kipindi maisha humuongoza binadamu afanye nini ili aweze kuishi kulingana na mazingira anayoishi. Hivyo ndivyo ilivyo kwa baadhi ya vijana na kinamama wanaoishi katika vijiji vya Sambaru, wilaya ya…
Wagonjwa Bunda wachomwa sindano ”gizani”
ZAHANATI ya Bunda mkoani Mara, inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ya chumba cha kuchomea sindano wagonjwa kukosa madirisha. Hali hiyo imebainika baada ya waandishi wa habari kutembelea zahanati hiyo na…
Wazee wa Songea watozwa pesa za Matibabu licha ya kuwa na Daftari lenye Muhuri wa kutibiwa bure!
Wazee wa kijiji cha Ifinga kata ya Ifinga wilaya ya Songea mkoa wa Ruvuma, wanatozwa pesa za matibabu, licha ya serikali kuwafutia gharama za matibabu wakienda katika vituo mbalimbali vya…