Wauguzi waingia mitini baada ya mbio za mwenge Mbeya

Gordon Kalulunga

ZAHANATI ya Kijiji cha Mponwa,Kata ya Totowe,Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya iliyofunguliwa katika mbio za Mwenge wa uhuru na kiongozi wa mbio za Mwenge Capt; Honest Mwanossa.

Wauguzi wawili waliopelekwa siku ya uzinduzi waliondoka baada ya siku nne tangu kuzinduliwa Mei 12, 2012.

zahanati-iliyotelekezwa

Zahanati iliyotelekezwa

jiwe-msingi

Madawa mbalimbali ya binadamu yamefungiwa ndani na funguo kukabidhiwa Afisa Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wake (picha chini).

box-dawa

Kwa sasa kituo hicho kimefungwa na kimekuwa makazi ya popo.

1 Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *