Month: January 2013

Ni lini wajawazito watapata huduma bure toka kwa mshirika huyu wa serikali?

HAKUNA huduma inayotolewa bure katika hospitali teule ya Mtakatifu Francisco iliyopo mjini…

Frank Leonard

Songea: Dawa za binadamu zasafirishwa kwa Pikipiki kutokana na ubovu wa barabara

Ubovu wa barabra katika Kijiji cha Ifinga Kata ya Matumbi Wilaya ya…

Mariam Mkumbaru

Viongozi wetu wanataka wakumbukwe kwa yepi?

Kila mara niangaliapo jinsi mambo yanavyoendeshwa na walio kwenye madaraka ya umma…

Ramadhani Msoma

Mwanza: Mkuu wa Mkoa amtunishia misuli Waziri Magufuli

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, ambaye pia ni mwenyekiti wa Kamati ya…

Sitta Tumma

Wajawazito zaidi ya 200 wapita salama mikononi mwa Nyagawa!

MAIMUNA Nyagawa (59), maarufu kwa jina la Mama Zamda ni Mkunga wa…

Frank Leonard

Kilio cha wapanda pikipiki kwa askari wanaolinda mgodi wa Shanta

BAADHI ya wapanda pikipiki wa kijiji cha Sambaru, mkoa wa Singida, wamesema…

Kulwa Magwa

Maaskofu: Wakristo Mwanza msile nyama iliyochinjwa na Waislamu!

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Umoja wa Makanisa ya Kikristo Jijini Mwanza,…

Sitta Tumma

Rufiji: Vichanga hupimwa uzito kwa kukadiria tu!

“Tangu nilipofika hapa ni mwaka mmoja sasa, niliukuta mzani huu wa kupimia…

Stella Mwaikusa

Wauguzi waingia mitini baada ya mbio za mwenge Mbeya

ZAHANATI ya Kijiji cha Mponwa,Kata ya Totowe,Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya iliyofunguliwa…

Gordon Kalulunga