Month: January 2013

Bwawa la Zumbi limeifanya Nyaminywiri kuwa ‘Selou’ ndogo

Kijiji cha Nyaminywiri kinapatikana katika kata ya kipugira wilayani Rufiji katika mkoa…

Stella Mwaikusa

‘Mwalo’ wa dhahabu Londoni

Ni saa 3:00 asubuhi, natoka kwenye nyumba ya kulala wageni iitwayo ‘Kwa…

Kulwa Magwa

Wajawazito Mbeya wasukumana kwa wakunga wa jadi kujifungua

KATIKA vijiji vya Totowe na Mbuyuni hakuna serikali. Ni utawala binafsi. Huku…

Gordon Kalulunga

Usafiri wa Mtumbwi tatizo kwa wajawazito Rufiji

“Nilijifungua kando ya mto Rufiji kutokana  na mtumbwi kuwa ng’ambo ya pili”…

Stella Mwaikusa

SIKU YA UKOMA DUNIANI 2013: Tujikabidhi kwa Mungu

"Jikabidhi kabisa kwa Mungu, atakutumia kutimiza mambo makuu kwa hali ambayo utaamini…

Dr. Joachim Mabula

Baada ya vurugu kubwa Dumila, hali bado tete wilayani Kilosa…

Hali bado ni tete katika baadhi ya vijiji wilayani Kilosa, Morogoro baada…

Islam Mbaraka

Hali ya Manumba bado tete! Sasa akimbizwa Afrika Kusini…

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Jinai, DCI, Robert Manumba, ameondoka jioni hii kuelekea…

Islam Mbaraka

Wajawazito Tanzania wakimbilia kujifungulia Malawi

SERA ya Afya ya mwaka 2007 haifahamiki wilayani Ileje katika mkoa wa…

Gordon Kalulunga

VIDEO: Ofisa wa TRA Arusha akichukua rushwa waziwazi!

Video hii imerekodiwa kutoka kwenye simu ya mkononi na inamuonyesha Ofisa wa…

Jamii Africa