Latest Afya News
Watoto wachanga 5,995 kuzaliwa mwaka mpya nchini Tanzania, asilimia 37.3 hufariki kabla ya kutimiza mwezi mmoja
Inakadiliwa kuwa watoto wachanga 5,995 wamezaliwa katika siku ya mwaka mpya wa 2018…
Utafiti: Ulaji wa samakiĀ kuongeza uwezo wa kufikiri, kutibu matatizo ya kukosa usingizi
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Pennsylvania unaeleza kuwa watoto wanaokula samaki…
Mazingira: Mirija ya plastiki changamoto nyingine uhifadhi wa vyanzo vya maji
Na Daniel Samson Licha ya juhudi mbalimbali za serikali na wadau wa…
Ukosefu wa elimu ya matunzo wachochea kansa ya ngozi kwa ‘Albino’
“Nina ndoto kwamba siku moja nchini Tanzania, watu wenye albinism watachukua nafasi…
Waziri Ummy Mwalimu awaagiza wataalamu wa afya kuzigeukia tiba asili
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu…
Tanzania kujitathmini mapambano dhidi ya dawa za kulevya
Kila ifikapo Juni 25 kila mwaka dunia inaadhimisha siku ya kupiga vita…
Utafiti: Asilimia 10 hadi 25 ya bajeti ya familia hugharamia huduma za afya
Imebainika kuwa nusu ya watu wote wanaoishi duniani hawapati huduma bora za…
Maambukizi ya UKIMWI yanapogeuka janga kwa wakulima Tanzania
Kilimo ni sekta ya uzalishaji ambayo huchangia kukuza pato na kuimarisha uchumi…
Ongezeko la bajeti isiyoendana na mahitaji ya lishe kuathiri afya za watoto nchini
Licha ya kuongezeka kwa bajeti inayoelekezwa katika sekta ya lishe nchini, bado…