Sekta ya fedha yatakiwa kuongeza ubunifu kuwafikia wajasiriamali
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Prof. Florens Luoga imeitaka sekta ndogo ya benki kuongeza ubunifu kwa kutoa mikopo ya muda mfupi na mrefu ili kuboresha biashara za wajasiriamali…