Mfamasia wa wilaya ya Magu mbaroni kwa wizi wa dawa
MFAMASIA wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu mkoani hapa, Kanuti Kimaro ametiwa…
Wagonjwa wanyang’anywa chakula na nyani Bunda
NYANI wanaoishi katika milima wa Balili, Bunda mkoani Mara, sasa wamefikia hatua…
Ipo Haja ya Kuliombea Taifa kuushinda Ufisadi – Mchungaji
MCHUNGAJI wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri(KKKT) katika Usharika wa Inuka lililoko…
Mvua Kubwa kuendelea kunyesha Dar hadi Jumamosi; hali kuzidi kuwa mbaya!
Mvua kubwa ambayo imeanza kunyesha siku ya Jumatatu Jijini Dar itaendelea kunyesha…
Madiwani wa Muleba wapinga mkopo wa baiskeli
KILIO cha madiwani kuboreshewa maslahi yao kimegeuka wimbo wa kawaida takribani katika…
Waliochangia maoni ya katiba wahojiwa!
BAADHI ya wanafunzi wa shule ya sekondari Ihungo Manispaa ya Bukoba waliotoa…
Wakili Mwalle akabiliwa na mashtaka mapya!
YULE Wakili maarufu jijini Arusha Mediam Mwalle amefunguliwa kesi nyingine tena akidaiwa…
TUCTA: Tutatangaza mgomo nchi nzima kupinga posho za Wabunge
SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), limesema lipo tayari kutangaza mgogoro…
Miaka 50 ya uhuru Mwanza: RC awataka wananchi waendelee kuwa wavumilivu
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarist Ndikilo, amewataka wakazi wa mkoa…