Mpwapwa: Madarasa mawili yatumia chumba kimoja kusomea

KILOMETA 64 kusini mwa mji wa Mpwapwa ndipo ilipo shuke ya msingi, Lufusi katika kata ya Lumuma, ambayo inakabiliwa na upungufu wa vyumba vya madarasa, suala ambalo husababisha chumba kimoja…

Kulwa Magwa

Ni lini wajawazito watapata huduma bure toka kwa mshirika huyu wa serikali?

HAKUNA huduma inayotolewa bure katika hospitali teule ya Mtakatifu Francisco iliyopo mjini Ifakara mkoani Morogoro pamoja na kwamba ni mshirika wa serikali katika kutekeleza sera ya afya ya mwaka 2007.

Frank Leonard

Songea: Dawa za binadamu zasafirishwa kwa Pikipiki kutokana na ubovu wa barabara

Ubovu wa barabra katika Kijiji cha Ifinga Kata ya Matumbi Wilaya ya Songea  katika Mkoa wa Ruvuma, unachangia usafirishaji wa madawa ya binadamu kwa kutumia pikipiki ya kukodi.

Mariam Mkumbaru

Viongozi wetu wanataka wakumbukwe kwa yepi?

Kila mara niangaliapo jinsi mambo yanavyoendeshwa na walio kwenye madaraka ya umma na hasa katika serikali za hivi karibuni kuna jambo ninaloliona haliko sawa. Nafahamu ili uweze kufanya kazi yako…

Ramadhani Msoma

Mwanza: Mkuu wa Mkoa amtunishia misuli Waziri Magufuli

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, ambaye pia ni mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa huo, Injinia Evarist Welle Ndikilo, ametofautiana na maagizo ya Wizara ya Uchukuzi kuhusu…

Sitta Tumma

Wajawazito zaidi ya 200 wapita salama mikononi mwa Nyagawa!

MAIMUNA Nyagawa (59), maarufu kwa jina la Mama Zamda ni Mkunga wa jadi anayeishi katika kijiji cha Mdandu, wilayani Wangingombe mkoani Njombe; kazi yake ni kuwasaidia wajawazito kujifungua.

Frank Leonard

Kilio cha wapanda pikipiki kwa askari wanaolinda mgodi wa Shanta

BAADHI ya wapanda pikipiki wa kijiji cha Sambaru, mkoa wa Singida, wamesema wamekuwa wakikamatwa na baadhi ya askari wanaolinda mgodi wa Shanta ambapo huwapotezewa muda na kuwatoza rushwa ili wawaachilie.

Kulwa Magwa

Maaskofu: Wakristo Mwanza msile nyama iliyochinjwa na Waislamu!

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Umoja wa Makanisa ya Kikristo Jijini Mwanza, umetoa tamko kali kwa kuwataka waumini wa dini hiyo kutokula nyama yoyote iliyochinjwa wa Waislamu. Tamko hili limetolewa…

Sitta Tumma

Rufiji: Vichanga hupimwa uzito kwa kukadiria tu!

“Tangu nilipofika hapa ni mwaka mmoja sasa, niliukuta mzani huu wa kupimia vichanga ukiwa umeharibika hivyo ninachofanya ni kukadiria uzito wa mtoto anayezaliwa au kutompima kabisa” anaeleza Dokta Dollo Victor.

Stella Mwaikusa