Slaa afufua ya EPA na rada, awabana Kikwete, Mkapa, DPP

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa amefufua upya tuhuma za ufisadi ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia Akaunti ya Madeni ya Nje…

Jamii Africa

Waziri Mathayo: Tutafunga uvuvi Ziwa Victoria kulinda samaki wetu

Naagiza TRA na vyombo vingine kuhakikisha vinafanyakazi zake vizuri ikiwa ni pamoja na kuwatia nguvuni wale wote watakaobainika kukiuka sheria na taratibu za uvuvi. Muda wa kubembelezana haupo, nataka kazi…

Jamii Africa

Tahadhari ya Maafa kutokana na mvua za Masika (Machi-Mei 2012)

Serikali inawakumbusha wananchi wanaoishi mabondeni kuhama mara moja kutoka kwenye maeneo hayo hatarishi na kwenda kwenye maeneo salama ili kujikinga na maafa yanayoweza kusababishwa na mafuriko au maporomoko ya udongo.

Jamii Africa

Vigogo watajwa mauaji wa albino Tanzania, lakini hakuna aliyekamatwa

CHAMA cha watu wenye ulemavu wa ngozi Mkoani Kagera (Albino) kimeieleza timu ya Tathimini ya Utawala Bora Barani Afrika (APRM) kuwa watuhumiwa wakubwa wa mauaji ya kundi hilo la walemavu…

Jamii Africa

Asanteni madaktari – mmetuonesha haja ya kutawaliwa ipasavyo!

Nimesoma na kurudia mara kadhaa taarifa ya chama cha madaktari kuhusu kusitisha mgomo na niseme kwamba nimeipenda upeo na heshima yangu kwa madaktari wetu imezidi mara elfu zaidi. Yeyote aliyesoma…

Jamii Africa

Rais Kikwete akutana na viongozi wa madaktari waliogoma Ikulu

Rais Jakaya Kikwete, amefanya kikao cha ghafla na uongozi wa madaktari ambao wameanza mgomo wao upya wakidai maslahi zaidi na kuboreshwa kwa mazingira ya kufanyia kazi ili kutoa huduma bora.…

Jamii Africa

Mbunge wa CHADEMA ashinda kesi ya Uchaguzi Ilemela Mwanza

HATIMAYE Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, imetoa hukumu katika kesi ya kupinga matokeo ya ushindi wa Mbunge wa Jimbo la Ilemela Jijini Mwanza, Highness Samson Kiwia (Chadema), iliyofunguliwa na walalamikaji…

Jamii Africa

Kikwete kuwashukia madaktari leo au kukubali kuwajibika?

Leo tutashuhudia kujaribiwa kwa Rais Kikwete kama kiongozi. Naamini hakuna kipimo kizuri cha uwezo wake wa kuongoza na kulishawishi taifa kama atakavyojaribu kuonesha njia ya kushughulikia tatizo la mgomo wa…

Jamii Africa

Mgomo wa Madaktari na udhaifu wa kutawaliwa “wapendavyo”

Kuna kanuniĀ  ya msingi inagombaniwa katika mgomo huu wa madaktari ulioanza tena baada ya kusitishwa kwa muda wa wiki tatu. Kwamba je wananchi wa Tanzania watatawaliwa jinsi ili watawala wanataka…

Jamii Africa