Wagonjwa wanyang’anywa chakula na nyani Bunda
NYANI wanaoishi katika milima wa Balili, Bunda mkoani Mara, sasa wamefikia hatua ya kusaka vyakula vya wagonjwa wanaolazwa kwenye wodi za Hospitali Teule ya Wilaya ya Bunda. Hayo yalibainika wiki …
Ipo Haja ya Kuliombea Taifa kuushinda Ufisadi – Mchungaji
MCHUNGAJI wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri(KKKT) katika Usharika wa Inuka lililoko kata ya Mkuyuni Jijini hapa, Jackob Kituu ameshauri Wakristo nchini waache kula angalau kwa siku kadhaa, ili …
Makampuni ya Kigeni yapewa tenda na TBS ya kusimamia bidhaa zinazoingizwa nchini
SHIRIKA la Viwango nchini (TBS), limesema kwamba, limelazimika kuanzisha mpango mpya wa kudhibiti kabisa uingizwaji wa bidhaa zisizo na ubora hapa nchini, na kazi hiyo limeikabidhi kwa makampuni ya kutoka…
Wenje aunguruma Mwanza; akana kupokea ‘ongezeko’ la posho
Mbunge wa Nyamagana Jijini Mwanza, Ezekiel Dibogo Wenje (CHADEMA), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari juu ya nyongeza ya posho za wabunge kutoka sh. 70,000 hadi sh. 200,000, muda mfupi…
Mvua Kubwa kuendelea kunyesha Dar hadi Jumamosi; hali kuzidi kuwa mbaya!
Mvua kubwa ambayo imeanza kunyesha siku ya Jumatatu Jijini Dar itaendelea kunyesha ikiambatana na ngurumo na radi kubwa hadi usiku wa Jumamosi kuamkia Krismasi siku ya Jumapili. Mvua hiyo kubwa…
Ilemela walalamika kunyanyaswa na polisi, mbunge aonya hulka hiyo ife
WANANCHI wa Jimbo la Ilemela jijini Mwanza, wamelalamikia manyanyaso wanayopewa na askari polisi wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, na kumuomba mbunge wao, Highness Samson Kiwia (CHADEMA), kufikisha kilio chao…
Madiwani wa Muleba wapinga mkopo wa baiskeli
KILIO cha madiwani kuboreshewa maslahi yao kimegeuka wimbo wa kawaida takribani katika wilaya zote nchini. Wanadai wanachopata hakilingani na thamani ya uwakilishi wao wa miaka mitano. Hivi karibuni halmashauri ya…
Waziri Magufuli atishia kumfukuza kazi Mkandarasi
WAZIRI wa Ujenzi, John Magufuli amemwagiza Mkandarasi anayesimamia ujenzi wa barabara ya lami kutoka Mission hospitali kwenda mjini Sengerema mkoani Mwanza, kuhakikisha anarudi mara moja kwenye mradi huo, vinginevyo atamfukuza…
Waliochangia maoni ya katiba wahojiwa!
BAADHI ya wanafunzi wa shule ya sekondari Ihungo Manispaa ya Bukoba waliotoa maoni ya mabadiliko ya katiba katika kongamano lililofanyika wiki moja iliyopita wamehojiwa na maofisa usalama. Hali hiyo imekuja…