AIDS doesn’t isolate, but people do
It is a terminal disease. No vaccine, no medicine but could be avoided when everyone gets proper education. Each of us will be safe from the virus and thus refrain…
Unyanyapaa watawala ‘Elimu Jumuishi’, wanafunzi wenye ulemavu hatarini kukosa fursa ya elimu
Mkakati wa kitaifa wa utekelezaji wa Elimu Jumuishi unaweza usifanikiwe kutokana na kushindwa kuboresha mazingira ya kosomea ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu. Elimu Jumuishi ni mpango wa kitaifa ambao una…
TAHADHARI: Mafuta ya lavenda, chai huchochea wanaume kuota matiti
Pamoja na kukosekana kwa idadi kamili, lakini ukweli ni kuwa Tanzania, kama ilivyo kwa nchi zingine, kumekuwepo ongezeko la wavulana na hata wanaume, kuonekana kuwa na matiti makubwa. Kawaida, maumbile…
Umoja wa Ulaya waigomea Tanzania, Botswana biashara ya pembe za ndovu
Nchi 32 za Afrika ikiwemo Tanzania zimeutaka Umoja wa Ulaya (EU) kusitisha biashara ya pembe za ndovu ili kuokoa tembo waliosalia barani humo. Makubaliano hayo yalifikiwa nchini Botswana hivi karibuni…
Wakulima, wafanyabiashara waikalia kooni serikali ongezeko la VAT
Wakulima nchini wamelalamikia mrundikano wa kodi zinazotozwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kudai kuwa unakwamisha sekta ya kilimo kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa viwanda. Malalamiko hayo yametolewa…
Ukosefu wa maji safi na salama wahatarisha afya za wananchi vijijini
Upatikanaji wa maji safi na salama ni muhimu kwa afya zetu. Maji yasiyo safi na salama ni chanzo cha magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu na kuhara ambayo yanaweza kusababisha vifo.…
Je, Tume Huru ya Uchaguzi ni suluhisho ya changamoto za Katiba nchini?
Mjadala wa kumalizia mchakato wa katiba mpya umeibuka katika siku za hivi karibuni. Asasi na makundi mbalimbali ya kijamii yameanza kujaribu kupaza sauti zao wakishauri na kuomba tuweze kukamilisha mchakato…
Nadharia kinzani za mfumo wa chama kimoja, vyama vingi na Tanzania tuitakayo
Mwaka 1964, Serikali iliyokuwa ikiongozwa na chama cha TANU iliamua kupiga marufuku mfumo wa vyama vingi na kuamua kuwa Tanzania itakuwa ni nchi ya chama kimoja. Sababu za uamuzi huo…
HOJA: Ni kweli Watanzania wanataka maendeleo lakini wanataka na Katiba Mpya
“Wananchi wanataka maendeleo. Wanataka huduma bora za jamii. Wanataka maji safi na salama, wanataka elimu bora, huduma za afya, na miundo mbinu bora. Katiba mpya si kipaumbele cha Watanzania. Wananchi…