Tanzania yashika nafasi ya 22 kwa ‘Utumwa wa Kisasa’ duniani. Mimba za utotoni, kusafirisha watu zaigharimu
Daniel Samson Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 100 duniani zenye idadi kubwa ya watu ambao wanatumikishwa kwenye shughuli za ‘utumwa wa kisasa’ ambapo hali hiyo inatafsiriwa ni ukiukwaji mkubwa…
Ellen John-Sirleaf: Mapambano dhidi ya Ebola yalivyomtoa kimasomaso hadi kupata tuzo ya Uongozi bora Afrika
Hatimaye tuzo ya uongozi bora ya Afrika imechukuliwa na Rais wa zamani wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf kutokana na utawala bora, mageuzi ya kisiasa na uchumi aliyoyafanya akiwa madarakani. Tuzo…
Watoto tisa kati ya kumi wa kitanzania wanapata lishe duni
Je, asilimia 92 ya watoto nchini Tanzania wanapata lishe duni? Kwa mujibu wa Rikke Le Kirkegaard, mtaalamu wa maswala ya Afya anayefanya kazi na shirika la Watoto duniani (UNICEF) jijini…
UTAFITI: Kukodolea matiti ya binti kunaongeza umri wa kuishi kwa wanaume
Je, unapenda kuishi maisha marefu zaidi na kuendelea kufurahia uhai na raha za dunia hii? Basi jibu lake ni dogo tu; “kodolea matiti ya wasichana wadogo.” Jibu hili ni matokeo…
Dalili zaonesha Magufuli, Kagame, Museveni kukosa tuzo za Mo
Zaidi ya shilingi trilioni 10 zinazotolewa bure kwa rais mstaafu wa nchi ya Afrika aliyetenda vyema kwenye uongozi wake, huenda zikachukua miaka mingi kuchukuliwa na viongozi wa Afrika Mashariki. Hali…
Mahitaji ya maziwa, nyama ya ng’ombe yaongezeka; takwimu zakwamisha wafugaji kunafaika na soko la Afrika
Familia nyingi za watu walio vijijini ni za wafugaji wa wanyama kama ng’ombe, kuku, mbuzi, kondoo lakini zinaishi katika umasikini uliokithiri licha ya kuwa na rasilimali muhimu ya kutengeneza utajiri.…
Mimba za Utotoni: Wasichana wanapogeuka wakimbizi Makumbusho
Na Daniel Samson “Nilipomaliza shule nikaanza mahusiano na huyo mwanaume, basi katika kipindi cha wiki tano nikajigundua sijielewi kutokana na mabadiliko niliyopata”, hayo ni maneno ya msichana Aisha Juma (17)…
Mgongano wa sheria za kampuni, madini unavyoikosesha serikali mapato
Licha ya bunge kupitisha Sheria ya Kuzuia Utakatishaji Fedha ya mwaka 2006, imeelezwa kuwa serikali ya Tanzania haina mfumo mzuri wa sheria wa kuweka wazi wanufaika wa umiliki wa kampuni…
Uhaba wa maji wageuka mtaji wa kisiasa wilayani Magu
Hotuba ya bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji ya mwaka 2017/2018 inaeleza kuwa asilimia 86 ya watu wanaoishi mijini na asilimia 72.58 ya vijijini katika Tanzania Bara wanapata maji…