Wasichana milioni 68 hatarini kukeketwa ifikapo 2030 duniani

Ulimwenguni kote inakadiriwa kuwa wanawake na wasichana milioni 200 wamekeketwa na kuwaachia madhara ya kisaikolojia, kiafya na kijamii. Kwa mujibu wa shirika la Idadi ya watu la Umoja wa Mataifa…

Jamii Africa

Kwanini Saratani ni tishio kwa mataifa yanayoendelea?

Siku ya Saratani duniani inaadhimishwa Februari 4 kila mwaka. Shirika la Afya Duniani (WHO) linakadiria kuwa, kila mwaka wagonjwa wapya wapatao 50,000 hugundulika na saratani za aina mbalimbali Tanzania. Kati…

Jamii Africa

Dkt. Slaa afunguka Lissu kupigwa risasi, apinga rais kuongezewa muda wa uongozi

Balozi Mteule na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbroad Slaa amesema tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la…

Jamii Africa

ELIMU BURE: Utata, tafsiri potofu ya Waraka wa Elimu Namba 5 wa 2015

Siku chache zilizopita Rais John Magufuli alipiga marufuku michango ya aina yoyote  katika shule za msingi na sekondari nchini kwa madai kuwa serikali inatoa elimu bila malipo, lakini agizo hilo…

Jamii Africa

DPP anyang’anywa mamlaka ya kuzuia dhamana kwa washtakiwa

Mahamaka ya Rufani imemwondolea Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) mamlaka ya kisheria ya kuzuia dhamana kwa washtakiwa wa makosa mbalimbali kabla ya kesi zao kutolewa uamuzi. Hatua hiyo imefikiwa baada ya…

Jamii Africa

Kemikali za  sumu bado tishio kwa uhai wa binadamu

Imeelezwa kuwa matukio ya watu kunywa sumu yameongezeka nchini na kuchangia vifo vya watu wanaokufa muda mfupi kabla ya kupatiwa huduma ya kwanza. Sumu ni kitu chochote kinachoweza kuua au…

Jamii Africa

“Wasiojulikana” washindwa kumfikia Lissu hospitalini

Wale wanaotajwa mara kwa mara kuwa ni “watu wasiojulikana” walikwama kumfikia na kumuua Tundu Lissu, akiwa amelazwa Hospitali ya Nairobi, Kenya. Taarifa za uhakika kutoka Nairobi zinaeleza kuwa vyombo vya usalama…

Jamii Africa

Dini, CCM, Mabadiliko na Kingunge

MENGI yaliandikwa, yanaandikwa na yataandikwa kuhusu maisha, elimu, kazi, familia na ushiriki wake katika siasa za Tanzania na maeneo mengine. Anayezungumzwa hapa ni Kingunge Ngombale Mwiru; mwanasiasa na mwanafalsafa kindakindaki…

Jamii Africa

MAZOEZI: Kutembea au kukimbia? Wataalamu watoa neno

Watu wanaofanya mazoezi ya kukimbia na kutembea wana mambo mengi yanayofanana. Wote wanatumia njia mbalimbali kufikia malengo ya kuimarisha afya ya mwili. Changamoto inajitokeza ni kwenye faida na hasara za…

Jamii Africa