Ukosefu wa takwimu sahihi za vituo vya maji kikwazo cha maendeleo vijijini
Daniel Samson Baadhi ya wananchi waishio vijijini wataendelea kusubiri kupata huduma ya maji ya uhakika kwa muda usiojulikana kwasababu ya kukosekana kwa takwimu za utendaji wa vituo vya maji nchini.…
Elimu bure ya Tanzania yatoa changamoto nchini Morocco
Wakati serikali ya Tanzania ikitekeleza sera ya elimu bure kwa shule za msingi na sekondari, serikali ya Morocco inakusudia kupeleka mswada wa sheria bungeni ili kufikia tamati ya kutoa elimu…
Adhabu haitamaliza mimba za utotoni Tanzania kwasababu ‘tabia mbaya’ sio kisababishi
Nchini Tanzania msichana wa shule ya msingi na sekondari akipata mimba ndio inakuwa mwisho wa masomo yake. Anafukuzwa shule na haruhusiwi kuendelea na masomo hata baada ya kujifungua. Awali serikali…
‘Scorpion’ aliyemtoboa macho Said Mrisho ahukumiwa jela miaka 7 na kulipa fidia ya milioni 30
Aliyetobolewa macho kupewa fidia milioni 30 Hakimu asema rufaa iko wazi kwa mtu ambaye hajaridhika Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemhukumu Salum Njwete maarufu kwa jina la ‘Scorpion’ kifungo cha…
Trump aendelea kukubalika Afrika, kauli ya ‘Sithole’ yazua mjadala kila kona
Licha ya Rais wa Marekani, Donald Trump kutoa kauli ya kibaguzi dhidi ya nchi za Afrika, inaelezwa kuwa bado wananchi wa bara hilo wanaukubali uongozi wa rais huyo. Wakati akiingia…
Muongozo wa matibabu kumaliza tatizo la upatikanaji wa dawa kwenye vituo vya afya?
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imezindua Muongozo wa matibabu na orodha ya dawa zote muhimu ili kupunguza tatizo la upatikanaji wa dawa katika…
‘Human Rights Watch’ waeleza haki ya faragha ilivyokanyagwa Tanzania mwaka 2017
Haki ya Faragha ni miongoni mwa haki za msingi ambazo zinatambulika kimataifa ambayo hulinda uhuru na taarifa muhimu za mwananchi mmoja mmoja zisifahamike kwa watu au umma. Msingi wa haki…
Unataka kupunguza msongo wa mawazo? Wanasayansi wanasema nusa nguo ya mpenzi wako
UTAFITI mpya uliotolewa na Chuo Kikuu cha British Columbia cha nchini Canada umebaini kuwa kunusa nguo ya mpenzi wako aliye mbali nawe kunasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kudumisha upendo.…
Upungufu wa takwimu zinazojitosheleza kikwazo mapambano dhidi ya uvuvi haramu Tanzania
Ukosefu wa takwimu zinazojitosheleza za meli, maeneo ya bahari zinakoendesha shughuli za uvuvi umekuwa kikwazo kwa serikali za nchi za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania kukabiliana na uvuvi haramu usiozingatia sheria…