Kesi namba 457 inayoikabili JamiiForums: Shahidi upande wa Jamhuri atoa ushahidi wake, kesi kusikilizwa tena kesho
Kesi namba 457 inayoikabili JamiiForums, kuhusu kampuni ya CUSNA Investment ambayo ilidaiwa kufoji nyaraka bandarini, kukwepa kodi na kuwatesa wafanyakazi wazalendo na kupendelea wageni toka nje ya nchi, imeanza kusikilizwa…
Maendeleo na Usalama wa Mtandao vinatakiwa kwenda sambamba
Kwa mara nyingine tena, China ni mwenyeji wa mkutano kuhusu mtandao wa Internet, unaofanyika katika mji wa Wuzhen, mkoani Zhejiang hapa China. Mada mbalimbali zinajadiliwa kwenye mkutano huu, ikiwa ni…
Kasi ya wapinzani kuhamia CCM yawaibua wasomi nchini
Kutokana na kasi ya wanachama wa vyama vya upinzani kuhama vyama vyao na kukimbilia Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa lengo la kuunga mkono juhudi za rais John Magufuli za kupambana…
Maambukizi ya Mfumo wa upumuaji yanachangia asilimia 10.5 ya watoto wanaotibiwa hospitalini
Matumizi ya nishati ya asili katika shughuli za binadamu yamekuwa chanzo kikubwa cha uharibifu wa mazingira, lakini nishati hiyo inatajwa kuathiri zaidi afya za watoto hasa maambukizi katika mfumo wa…
Wananchi Tunduru watembea nusu kilomita kufuata maji, Halmashauri kuchimba visima katika vijiji 23
Serikali kwa kushirikiana na taasisi binafsi katika Wilaya ya Tunduru inaendelea na uchimbaji wa visima virefu vya maji katika vijiji 23 ili kupunguza tatizo la upatikanaji wa maji kwa wakazi…
Maumivu ya Matiti: Mabadiliko ya mwili yanayohusishwa na kansa kwa wanawake
Kansa ya matiti ni miongoni mwa magonjwa yanayowatesa wanawake wengi duniani na kuhatarisha afya zao. Lakini kumekuwepo na hisia tofauti juu ya maumivu ya kawaida ambayo mwanamke anaweza kuyapata kwenye…
Fahamu saikolojia ya msichana aliyepata mimba katika umri mdogo
Elimu ni njia sahihi ya kumkomboa mwanadamu kifikra na kumuwezesha kumudu mazingira yanayomzunguka ili kufikia malengo aliyojiwekea. Kwa kutambua umuhimu wa elimu, serikali imeweka mfumo mzuri ambao haubagui jinsia ya…
Uhuru wa Kujieleza kitanzini, wanahabari waaswa kujenga taasisi imara
Vyombo vya habari nchini vimetakiwa kuboresha maslahi ya wanahabari na kujenga taasisi imara zinazoendeshwa kwa weledi na taaluma ili kuongeza uhuru wa kujieleza na kupata taarifa. Akizungumza katika Mdahalo wa…
Walibya wang’aka kuwauza Waafrika, wasema ni propaganda za Magharibi kuichafua nchi yao
Mgogoro wa kuuza watu unaoendelea Libya umechukua sura mpya baada ya vyombo vya habari kuripoti matukio ya kuteswa na kuuzwa kwa Waafrika weusi ambao wanakimbia hali ngumu ya kimaisha katika…