Mbunge Upendo Peneza kutumia vifungu vya katiba kuzuia uchaguzi wa marudio

Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Geita, Upendo Peneza amesema anakusudia kuzuia uchaguzi mdogo wa marudio katika majimbo ambayo wabunge wake wamejiuzuru na kujiunga  na vyama vingine ili kuokoa fedha…

Jamii Africa

Bajeti yakwamisha malipo ‘baada ya matokeo’ kwa walimu, AZAKI yajitokeza kuwalipa

Utulivu na usikivu wa mwanafunzi akiwa darasani ni hatua muhimu ya kupata maarifa kutoka kwa mwalimu anayemfundisha. Lakini  shule zina utaratibu wa kutoa majaribio na mitihani kwa wanafunzi ili kubaini…

Jamii Africa

Serikali inapoteza bilioni 793 za walimu ‘watoro’

 Utafiti wa taasisi ya Twaweza unaeleza serikali inapoteza bilioni 793 kila mwaka  za mishahara ya walimu wa shule za msingi  ambao hawatimizi majukumu yao ya kufundisha wanafunzi na kuhudhuria shuleni.…

Jamii Africa

NBS yashauriwa kuondoa utata wa takwimu za uchumi nchini

Wataalamu wa Shirika la Kimataifa la fedha (IMF) wameishauri Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kupitia na kuondoa utata wa takwimu za ukuaji wa uchumi ilizozitoa hivi karibuni ambazo zimeibua…

Jamii Africa

Wavamizi watishia kuliangamiza Bonde la Wami Ruvu

Sera ya maji ya mwaka 2002 inabainisha kuwa Matatizo mengine katika kusimamia na kuendeleza rasilimali za maji hapa nchini yapo katika maeneo ya utunzaji wa rasilimali za maji katika Mabonde…

Jamii Africa

Sera ya Elimu Bure kuzirejesha shule za CCM mikononi mwa serikali

Rais wa Tanzania, John Magufuli ameitaka Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi kuzirejesha serikalini shule  za sekondari ambazo imeshindwa kuziendesha ili  ziboreshwe na kutoa elimu bora kwa wanafunzi. Ametoa…

Jamii Africa

‘Mafuriko’ shuleni yanavyokwamisha wanafunzi kuelimika

Wananchi wakielemishwa wakaelimika ni faida kwa taifa. Kuelimika kunategemea  ubora wa elimu inayotolewa ambayo hupimwa kwa vigezo mbalimbali, ikiwemo ujuzi na maarifa wanayopata wanafunzi wakiwa shuleni kusaida kutatua changamoto zilizopo…

Jamii Africa

Sababu za wanajeshi wa Tanzania kuendelea kulinda amani nchini Congo DRC

Inaelezwa kuwa vikosi vya jeshi la Tanzania kuendelea kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo  (Congo DRC) licha ya kupoteza wanajeshi wake 14 katika shambulio dhidi ya waasi, inatajwa…

Jamii Africa

Ongezeko la bajeti isiyoendana na mahitaji ya lishe kuathiri afya za watoto nchini

Licha ya kuongezeka kwa bajeti inayoelekezwa katika sekta ya lishe nchini, bado haijafanikiwa kutokomeza tatizo la udumavu kwa watoto walio chini ya umri wa miaka 5, jambo ambalo linaathiri maendeleo ya…

Jamii Africa