TAHADHARI: Waishio jirani na viwanda Dar hatarini kupata magonjwa ya kudumu

Wananchi wanaoishi jirani wa viwanda jijini Dar es Salaam wapo hatarini kupata magonjwa  ya mfumo wa upumuaji, ngozi na kansa kutokana na kuvuta vumbi, moshi na harufu inayosemekana kuwa na…

Aisi Sobo

Miaka 56 ya Uhuru: Babu Seya, mwanaye waachiwa huru, Rais atoa msamaha kwa wafungwa wengine 8,157

Rais John Magufuli ametoa msamaha na kuagiza kuachiwa huru kwa familia ya Nguza Viking maarufu ‘Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ambao walihukumiwa kifungo cha maisha kwa makosa ya ubakaji. Babu…

Jamii Africa

Jinsi shukrani inavyoweza kubadili afya yako

Kushukuru kwa kila jambo jema unalofanyiwa na mtu ni muhimu katika kujenga uhusiano mzuri na watu wanaokuzunguka. Kwa kutambua hilo kila ifikapo mwisho wa mwaka watu huingia katika nyumba za…

Jamii Africa

Wapigania kuundwa kwa baraza la wazee, kujenga mfumo imara wa uwakilishi

Serikali  imeshauriwa kuharakisha upitishaji na utekelezaji wa mkakati wa kitaifa wa kuzuia unyanyasaji na mauaji ya wazee nchini utakaosaidia kuundwa kwa Baraza la Wazee na kujenga jamii inayoheshimu haki za…

Jamii Africa

Haki za binadamu zinapokanyagwa, nchi haitakuwa salama

Ifikapo Desemba 10 kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya Azimio la Haki za Binadamu lililoasisiwa mwaka 1948 na kuwa tamko rasmi linaloainisha haki za msingi ambazo kila binadamu anatakiwa azipate.…

Jamii Africa

Shahidi katika kesi 457 asema hakuona uhusiano wa JamiiForums na Jamii Media

Shahidi  wa upande wa Jamhuri katika kesi 457 inayoikabili JamiiForums,  amekiri kutokuwepo kwa mahusiano kwa  kampuni ya Jamii Media na JamiiForum kwa kuwa kisheria kila kampuni inasimama peke yake. Kesi…

Jamii Africa

Shamba darasa, teknolojia mpya kuwahakikishia wakulima usalama wa chakula

Wakazi katika nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania wamekuwa wakitegemea kilimo cha mazao ya chakula kama chanzo cha kipato na kuendesha familia zao.  Licha ya juhudi za wakulima kuwekeza nguvu zao kwenye…

Jamii Africa

Gharama za uendeshaji benki zinavyoathiri utolewaji wa mikopo kwa wafanyabiashara

Ongezeko la gharama za uendeshaji wa benki na masharti mapya ya kodi yaliyowekwa na serikali kwa taasisi za fedha yametajwa kuathiri mwenendo wa utoaji mikopo kwa wafanyabiashara nchini. Ongezeko la…

Jamii Africa

CAG azitaka Mamlaka za maji kutathmini maji yanayopotea

Maendeleo ya jamii yanachangiwa na mambo mengi ikiwemo upatikanaji wa maji safi na salama. Kwa Tanzania maji yanayozalishwa na Mamlaka za Maji Mjini hayakidhi mahitaji yote ya wakazi, changamoto iliyopo…

Jamii Africa