Waziri Ummy Mwalimu awaagiza wataalamu wa afya kuzigeukia tiba asili

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewaagiza wataalamu wa wizara yake kuwekeza katika tafiti za tiba asili ili kuboresha utolewaji wa huduma hiyo katika…

Jamii Africa

Wanachama NSSF Ilala wapinga utaratibu mpya wa kupata mafao

 Shirika la Taifa La Hifadhi ya Jamii (NSSF) Wilaya ya Ilala linaendelea na uchunguzi wa wanachama ambao wamefungua madai ya kulipwa mafao baada ya kuachishwa kazi na waajiri ili kubaini…

Jamii Africa

Tanzania kujitathmini mapambano dhidi ya dawa za kulevya

 Kila ifikapo Juni 25 kila mwaka dunia inaadhimisha siku ya kupiga vita dawa za kulevya na kutathimini jitihada zilizofikiwa katika kupunguza tatizo la matumizi ya dawa hizi.  Biashara ya dawa…

Jamii Africa

Nchi za Afrika zashauriwa kuboresha miundombinu kuvutia wawekezaji sekta ya madini

Licha ya bara la Afrika kumiliki hazina kubwa ya madini, inachangia asilimia 8 tu madini yote yanayotengenezwa duniani. Inakadiriwa kuwa asilimia 30 ya madini yote yanayochimbwa duniani yanatoka Afrika ambayo…

Jamii Africa

Utafiti: Asilimia 10 hadi 25 ya bajeti ya familia hugharamia huduma za afya

Imebainika kuwa nusu ya watu wote wanaoishi duniani hawapati huduma bora  za afya jambo linalowatumbukiza kwenye umaskini kutokana na kutumia gharama kubwa za matibabu. Licha ya juhudi mbalimbali za mashirika…

Jamii Africa

MMEM yaongeza idadi ya wanafunzi shuleni,  yasahau kujenga vyoo

“Tunahitaji kutetea mfumo wa elimu unaokidhi mahitaji na kufanya mabadiliko  ili kuleta elimu bora kwa watoto wetu na taifa la kesho kwa ujumla". Hii ni nukuu ya aliyekuwa Waziri wa…

Jamii Africa

Kesi 456 inayowakabili Wakurugenzi wa JamiiForums, mawakili wavutana kuhusu mahakama kupokea kielelezo cha shahidi

Wakili wa upande wa utetezi  avutana na Wakili wa Jamhuri ambayealiiomba mahakama ipokee kielelezo cha taarifa iliyowekwa kwenye mtandao wa JamiiForums ikisadikiwa kuichafua kampuni ya mafuta ya Oilcom.  Kesi 456…

Jamii Africa

Maambukizi ya UKIMWI yanapogeuka janga kwa wakulima Tanzania

Kilimo ni sekta ya uzalishaji ambayo huchangia kukuza pato na kuimarisha uchumi la taifa. Tanzania ikiwa ni nchi inayotegemea kilimo kama uti wa mgongo wa uchumi wake, mipango na mikakati…

Jamii Africa

 CAG mstaafu Utouh: Sheria inaruhusu serikali kutumia fedha ambazo hazijaidhinishwa na bunge

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)aliyestaafu, Ludovick Utouh amesema sheria inaruhusu serikali  kutumia fedha ambazo hazijaidhinishwa na bunge kwa masharti ya kutoa taarifa kwa chombo hicho baada ya matumizi.…

Jamii Africa